I feel played

kudos to u Karucee na asipokuelewa hapa basi aje huku upande wa pili tumtengenezee mpaka ma equation akayasolve home kwao...
 
Last edited by a moderator:
machozi yanataka kutoka can i really do it

the problem is u loved too much... and the worst thing is "umemwonyesha unampenda"...
hili sio kosa lake, na hata kama ni wewe ungekua yeye ungemfanyia hivyo!!! hiyo ndiyo asili ya mwanadamu...
 
Inaonekana dada we jobless hebu tafuta kazi yoyote ya kuku keep busy naona unawaza mapenzi muda wote
 
Growing up with three brothers and two cousins helped me crack the nut. I never try to figure out anybody's mind. sometimes i worry about growing a beard coz i might have a male brain and a male heart. nusu dakika namfutilia mbali mtu and it never bothers me:loco:
True True.

Our lines of thought are worlds apart.

Being brought up by my Dad has helped me crack the password into a man's world.

I cannot say I'm perfect but am safe and will be for a million years.
 
Muko viwanja viwili tofauti, tena saana. Huyu jamaa hujatuambia ni kabila gani. Wengine hawajui maana ya kuchati haswa usiku.
Weye unataka umpashe moto mpaka atoke K'ndoni aje Mbagala kwa miguu. Yeye hajui hayo, anapokuona anajua ndo wakati na anachangamkia tenda kweli kweli. Ukisema Poo! Anavokulavu anainua mikono juu. Kumbe weye wataka kunywa maji muanze tena.
Hayo ndo matatizo, mkalishe, mweleze nia mwangalie na umsikilize tu. Huenda hamjaweka nia zenu pamoko.
 
You should have the power of moving on.
 
naona umeanza kupata fahamu....men are real trouble some ukijipendekeza sana
 
Thanks my friend. Sijakuona ona mda.
kudos to u Karucee na asipokuelewa hapa basi aje huku upande wa pili tumtengenezee mpaka ma equation akayasolve home kwao...

When you love him too much... he becomes unattracted to you.
the problem is u loved too much... and the worst thing is "umemwonyesha unampenda"...
hili sio kosa lake, na hata kama ni wewe ungekua yeye ungemfanyia hivyo!!! hiyo ndiyo asili ya mwanadamu...
 
the problem is u loved too much... and the worst thing is "umemwonyesha unampenda"...
hili sio kosa lake, na hata kama ni wewe ungekua yeye ungemfanyia hivyo!!! hiyo ndiyo asili ya mwanadamu...
meaning anajua kua nampenda sana ndo maana ana nifanyia hivi?
 
the problem is u loved too much... and the worst thing is "umemwonyesha unampenda"...
hili sio kosa lake, na hata kama ni wewe ungekua yeye ungemfanyia hivyo!!! hiyo ndiyo asili ya mwanadamu...
Meaning anajua nampenda sana ndo maana ananifanyia hivi
 
Maneno ya kweli
 
Asante kwa kunipa moyo
 
Play the ball girl...keep playing.

When you feel like played,then get back to the training ground to learn new moves(here you are).

If the new moves fail to work out,try to change game tactics while on pitch,don't carry the regrets to another day-it'll be too late and too tough for you to handle.

Now,find his pace right a way and try to fit yourself in it...if he slows, make yours a bit slower than him,and when he stops you'd have stopped early to him.
 
Inawezekana kuiabisa huyo jamaa anakupenda lakini hakuamini...pengine anakuona bado mdogo sana...haamini uwezo wako wa kufanya maamuzi..hana uhakika unampenda au infatuation..Ana take time kukuelewa
Saa zingine nawazaga hivyo kwamba anaona mi mdogo kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…