I feel played

..wanawake bana...!!! saikolojia ya wanaume ngumu sana, wengi wanasema upo cute kwa sababu zao.. angalia sana mwanaume anayependa kukusifia...

well said brother! Hawa viumbe sijui walipewa akili gani! Duh! So sad.
 
Glad you had a good time.

I don't see booze in your Karume Day activities.

teetotaler?

Hell no, jioni sasa...trying not to drink I'm the midday nowdays hata kama ni holiday, mpaka jioni jioniii...grabbed some siku ndo ikaisha hivooo.
 

How old are u??
 
Nakaribia kutimiza 24

Pole sana ndio maana jamaa anakuchezea ila we ujastuka tu!!Ki fupi kwa mtazamo wangu huyo jamaa ana mahali kapenda kwako huwa anatafuta kupoza miemko pindi alipopenda hamna game......Kimbia speed zote bado mdogo, sitisha huduma zote kwake
 
Pole sana ndio maana jamaa anakuchezea ila we ujastuka tu!!Ki fupi kwa mtazamo wangu huyo jamaa ana mahali kapenda kwako huwa anatafuta kupoza miemko pindi alipopenda hamna game......Kimbia speed zote bado mdogo, sitisha huduma zote kwake
Sio kitu rahisi lakini
 
act the way he does and see what happen
if he is in to u atashtuka if not mpotezee anakupotezea muda
 
Wewe ni mshika pembe, kwa kauli nyepes na kukusikitisha. Ila ndo ukwel wenyewe. Practice kutoka katka huo mtandao taratibu.
 
Inawezekana kabisa huyo jamaa anakupenda lakini hakuamini...pengine anakuona bado mdogo sana...haamini uwezo wako wa kufanya maamuzi..hana uhakika unampenda au infatuation..Ana take time kukuelewa
 
One sentence for you baby gal, "he is not that into you"!

stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.

Mimi nasema keep it up little thing, kuna siku atagundua hakuna anayemtreat poa kama wewe; kinachokufanikisha katika maisha ni wewe kuwa tofauti na wengine. Kila mtu anapenda kununua mahali penye discount kubwa hata mgahawa haufanyi biashara nzuri kama unatoa huduma ya kawaida inayotolewa na migahawa mingine; ni lazima utoe cha ziada ambacho wengine hawako tayari kutoa pitia hapa kwa akili zaidi www.quasserer.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…