Hivi mfano for instance mimi ambae nilijiunga baada yako naruhusiwa kukukaribisha??
Habari wakuu poleni au hongereni kwa shughuli za kutwa nzima ya leo. Leo nimetembelea jukwaa la utambulisho na kuona jinsi wageni wanavyobisha hodi na kukaribishwa humu ndani kwa style mbalimbali. Nikaji-feel ku-miss something, sina kumbukumbu kama nilijitambulisha wakati nikijiunga na jf. Ningeweza kucheki post yangu ya kwanza lakini kasimu kangu hakaniwezeshi kufanya hivyo. Naombeni basi mnikaribishe rasmi leo hii ili nipate ile feeling niliyoi-miss.
Asante sana valid statement, mambo yanaendaje mkuu?