I fail to understand him......help please

Chukua maamuz magumu.....yatakuumiza lakini yatakupa heshima na baadae utajiuliza ulimpendea nini?
Usijitie presha ukakonda bure kwa ajili ya mtu ambae yeye hata hakufikirii,ni kupoteza muda tu.
 
Moyo wangu unataka nimpigie lkn No! Hapa nna hasira ill only make things worse
 
Remme teach u hyu jamaa hana time na wewe waweza fanya mawili
1. Kata mawasiliano wiki 1 no calls, text any reply. (ngumu ila utaweza) akikaa kimya anza kuiona njia ya kutokea dont be available sana kwake kiasi akuone yan we upo tu umekufa umeoza

Hilo ndio la msingi,sahau kuwa ana exist and move on. Huo mwaka atakaokutafuta unamuuliza tu alisahau nini kilicho chake umtumie huko aliko.
 
Hata siamini nimependa kiasi hiki, nlishaapa mwanaume hawezi kuniumiza kichwa lkn huyu ananipelekesha kweli!!
......duh pole mamy...jiatahidi kwenda pole pole...na njia nzuri ni kurudisha sense of ur self...that is kuangalia umri wako, expectation zako, kudertmine nini namba moja kwako kwa sasa....overall try to do and process ur self actualization.....kama mtu anakupenda huwezi ukampigia simu asipokee..hata kama amebanwa anakwambia baadae..angalia asije kukufuja baadae hasa emotionaly.....
 
sasa usichoelewa hapo nini mpendwa wangu..hicho ni kibuti cha kimya kimya..ili akitaka kurudi asianze na am sor..
 



Shukran kwa ushauri wako, mungu anipe nguvu ya kuufanyia kazi
 
Hata siamini nimependa kiasi hiki, nlishaapa mwanaume hawezi kuniumiza kichwa lkn huyu ananipelekesha kweli!!
Huyo atakua anapenda kugegeda vichinchiri (sweets) kama wewe, sasa alipoona unamyeyusha akahamia kwa mwengine. kwa umri wake huo hajakua na akili ya kupenda na kujikita kwa mmoja, bado ana-play.. just play with him, otherwise, kama unataka serious relationship hapo haipo..
 
Habari zenu wapendwa, eti unamuelewaje mtu ambaye ukimpigia simu na namba yako hapokei lkn ukiazima simu ya mtu mwingine anapokea tena fasta, nashidwa kumuelewa my patience is runing out or I'm I overeacting

Hapo kuna mambo mengi yamejificha.Yawezekana ni wewe au yeye anaeletea kuwepo kwa hali hiyo.
1.Unapompigia huwa unaongea vitu gani,mizinga tu au lawama zisizo na msingi.
2.Muda gani unampigia;(mazingira aliyonayo na anavyojua stori zako)
3.Ameshakata tamaa,maana umesema awali alikufuatilia mda mrefu na hakufanikiwa kupata alichokitaka.

Kama kwa sasa umeanza kuvutiwa na yeye basi jaribu kutafuta njia njingine uweze kuonana nae muongee ana kwa ana anaweza kujenga trust mpya ya mapenzi kwako vinginevyo endelea na mambo yako kwani ktk maelezo yako inaonekana hamdaiani.
4.
 
Habari zenu wapendwa, eti unamuelewaje mtu ambaye ukimpigia simu na namba yako hapokei lkn ukiazima simu ya mtu mwingine anapokea tena fasta, nashidwa kumuelewa my patience is runing out or I'm I overeacting.

hakutaki huyo unalazimishwa uchezewe bure.
 
Eish I guess kila mtu ana fani yake na hii sio yangu, heri nijitulize!
....Maamuzi mazuri sana aise....pole pole tu utapata aliye tulia kama wewe....umri wako bado.
 
Habari zenu wapendwa, eti unamuelewaje mtu ambaye ukimpigia simu na namba yako hapokei lkn ukiazima simu ya mtu mwingine anapokea tena fasta, nashidwa kumuelewa my patience is runing out or I'm I overeacting.

what is your relationship with that person.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…