Simple, hataki kuongea nawe!
Simple mydia wala usiumie roho
eazy anza kuandaa silaha za mashambulizi hapo hamna kitu umeshampa anachotaka hamu na wewe hana tena. Hand down mamie kusoma hujui hata picha hauoni he is not into u.
Inategemea unampigia mara ngapi kwa siku na unaongea nini
kama unampigia kila baada ya dakika tano kumueleza
mara niko sokoni nanunua nyanya
mara niko saloon natengeneza nywele
mara nimeunguza jikoni
hata mimi sipokei simu za hivyo
The truth is ana mtu mwingine. Uamuzi ni wako to leave au play the game.
Sorry ana miaka mingapi??
Bahati nzur hakuna nlichompa myb dat da reson he lost intrest
2: learn to play a game how
kama jamaa anacash (sound naughty kidogo lakini that it is)
kama anacash na zinakuweka mjini play his game ila sasa usiwe mtumwa, yan pita njia zilezile anazotaka.
Trust me his not attracted to u now days. Sasa what u did mizinga kwenda mbele kama unajua mahali alipo ukipiga hapokei muendee huko aliko.
mnapenda vibaya wengine
Hamna nlikua simpigiagi kabisa he was the only one doing the calling then akaanza kucomplain so I changed nkawa namcoll List 3times a day, dats why nashindwa kuelewa wat myb da reson fot treating me lyk this
Jas yo an expert lol his 24