OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Akija kuoa huyo mwanamke asizae
Nimwambie alipotelea humo.Malaysian airways unaijua????!!!
Mwambie akapime DNA ili awe na uhakika. Kama atabisha na maadam anajifanya hakuelewa matokeo km vile hakuzaliwa duniani wewe mwaga mboga. Masuala ya TGNP, TAMWA, ustawi wa jamii na kama anafanya kazi usawa wa wakuu wake au kama ni mshirika wa makampuni basi huko kwa mameneja wenzake kutaeleweka, wazazi wake pia usiwaache. Mwaga mboga hadi mchuzi ili akoswe pa kuchovya.
Mi nachanganyikiwa kwakweli najikaza tu.
Mungu ampige kibaoWe mbona umezaa na ilhali hujui kama yeye hana mwanamke mwingine au labda alishaoa na kuzaa kabla!!!!??!!!!
Mambo ya ovum na sperm tena hayo kama wako fertile watazaa tu! !!!!!
Nimwambie alipotelea humo.
Mungu ampige kibao
Katika wote yeye ndo anisupport sana sasa na kaniambia wala hahitaji kumjua baba yake lakini awepo na ajue wajibu wake..Sasa ndio unapona hiyo kichaa yako kwa kuzungumza na watu kama hivi unasema babako mkorofi sana????!!!!
Mi sijaonaga mzee mkorofi akashindwa ku support matunzo ya mjukuu wake!!!!
Na mtoto akikua nasemajeWewe assume alikuwa humo!!!!
Kama ana huo uwezo na ni mtu wa kujali taswira yake kwenye jamii!!!!!Huu ndio ushauri muafaka utekeleze mara tu utakapopata nguvu. Kila la heri, pole sana na hongera kwa kujifungua.
Sawa asanteHuu ndio ushauri muafaka utekeleze mara tu utakapopata nguvu. Kila la heri, pole sana na hongera kwa kujifungua.
Katika wote yeye ndo anisupport sana sasa na kaniambia wala hahitaji kumjua baba yake lakini awepo na ajue wajibu wake..
Na mtoto akikua nasemaje
sounds like katoto..No am not. Nimazo ya hasira tuAisee!!!
Simba whaaaaat????!!!!
Kama unajua yote hayo ndio ushikamane na adabu zako!!!!
Habari,nashukuru mungu jana nijifungua salama mtoto wa kike ila baba yake kaniambia i dont want it and i have nothing to do with it.Nimelia sana nimeumia sana sijui hata nifanyaje mwenzeni anadai kua kwa nini siku mwambia mapema kua mimi ni mjamzito nikweli siku mwambia mapema sababu sikutaka kumtisha na sikutaka afikiri nilitaka kupata mimba kwa kili nilipopima the test always came negative mbaka nilipoamua kuenda hospitali.Sikuitoa sababu kwa imani niliyo nayo kwa mimi si kitu rahisi.Nimejaribu kumuelewesha,kumuomba na kumbembeleza pia lakini waapi kabadirika sio yule tena.Kumpenda na mpenda sana yani nashindwa kuelewa nifanyaje sasa nimemuomba basi tusaidiane kulea mtoto nakubali relationship iishe mtoto sio wangu peke yangu.Siku zote nilikua careful yani hata siku iliyokua safe sikutaka akojoe ndani sasa sijui what happened. Nampeda sana na natamani tungelea binti yetu pamoja kama kuna uwezekano.Jamani members wa humu naomba mniambie nifanyaje na nimuambie ni nini huyu mtu maana mimi maneno yameisha also mnishauri nifanyaje am really hopeless right now.I wish ningekua na maneno makali ya kumgusa moyo wake.kejeli na matusi sitaki..
Wewe assume alikuwa humo!!!!

Najipa moyo mtoto wangu atakua salama atakua mdada mrembo kama baba yake hatajirudi sasa basi hapo baadae wataelewana wenyewe acha mi nilee malaika wangu ambaye sikumtupa chooni.Safi sana mzee ndio maana tunakuambia kwa sasa lea mwanao huyo mtu mzima akili itamrudi na atajua pa kukupata tu