I dont want it


Hahahaaa mbona tumebana tu usihofu! Subiri kupokea mkaja wa shemeji
 
Last edited by a moderator:
Wee oddo kwan mamkubwa kalala?
I hope na we umejilaza pembeni!
Usikae sana mgongo utauma huoooo,mpk nikipata shemdarling mwingine ushindwe kumhug! Oh!

Khaaaaa wewe aisee yaani unaanza kumuonesha anaza posiboz????!!!!
 
Ona sasa!
Watu kwa kuongea kinyume !
Nimekuskia mwaya
Sema nini, chukua karatasi litengeneze kama filter hiv,aaf kamata ka Nzi!muweke humo then fanya kufungua zipu Kisha weka hiyo filter!
Relaaaax shida yako itaisha fasta!

Nafurahi umerudi kwenye mstari.
 
huyu mdada needs a brother!a father!.
Nyakati kama hizi a woman anahitaji ndugu yake wa kiume!
Kaka ,baba ,binamu also can do!
Mbona anapita kiulaini tu hapa!
huggies unae kaka?babako yupo? Binamu wa kiume?
Stick with them!
Ninao ila hawajui ukweli sija sema
 
Last edited by a moderator:
Yeye anasafirigi na tumbo wala halikua kubwa yani miezi 9 ilokua kama miezi 5 na na alikua na matatizo ndo maana nikaona bora nikae kimya kwanza nilivyoona siku zinazidi kwenda nikamwambia ukweli.
Unaona sasa kumbe angalau una sababu.japo mi sio kuwa naona alifanya sawa!
Jiambie tu kuwa alikujibu hivo kwa kuwa ana matatizo!
Ikuvushe ulipo!
Mi concern Yangu ni huyo cuttie wetu!
OLESAIDIMU kashaanza kupiga mahesabu ya ngombe! Usione anatuhimiza tukae kama familia!
Mamii lea binti yako!
Hakuna siku atakukana !
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mbona tumebana tu usihofu! Subiri kupokea mkaja wa shemeji

If you mean it, happiness will be mine!!!!!

Ila sichukuagi mkaja wala mkongojo ili akizingua nimchane bila emotion wala nini
 
Mbali kivipi

Unaweza kumwambia mtu nina mimba (sio nina mimba yako) akakuambia hongera plainly bila kuonesha excitement ukadhani kafurahi kumbe anakupa hongera kwa maana nyingine kabisa!!!!!
 
kana nyonya

Hebu wachana na sisi!
Nyonyesha mamkubwa huyo.akishalala urudi!
Breastfeeding ni divine kwa kweli!
Hizi siku saba za mwanzo nyonyesha kadiri unaweza .kitovu hicho!
Take care!
 


Kama kuna kitu huwa sioendi kusikia ni jinsi wapenzi wanavyojitahidi kuelezea kuwa sio wao ila ni mzingira tu, hapo huwa naona kama wananiyeyuuusha!!!!

Sikawii kupokea simu nikatokomea zangu, naona kama wanajaribu kuumba yai walilopikia keki tayari wakati hamna kuku kati yao!!!!!

Akizingua mpaka those days aaaanh tunapiga tu palipobakia vilevile!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Sawa bwana asante. Mi nasubiri
 
Last edited by a moderator:
Ninao ila hawajui ukweli sija sema

Utakosa mwana na maji ya moto ujue wakisikia kwa watu baki nao wataona ya nini kujihusisha na mambo usiyoelezwa???!!!!!

Tafuta audience nao au mwambie mama awaeleze!!!!!
 

Nawaza sijui niende kwa mama yake...
 
Last edited by a moderator:
Nafurahi umerudi kwenye mstari.

Nilijua tu utatulia ,hiyo dozi lazma ukae!
Sasa rejea nilichokushauri!
Hapo kulia sijui kushoto kwako kuna kitufe cha IGNORE LIST!
BOFYA HAPO!
 

Utakosa mwana na maji ya moto ujue wakisikia kwa watu baki nao wataona ya nini kujihusisha na mambo usiyoelezwa???!!!!!

Tafuta audience nao au mwambie mama awaeleze!!!!!
Niwakorofi ndo maana najaribu kumuweka sawa baba wa mtoto ili nisije kumuaribia maana baba yangu namjua mimi mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kujifungua
Pia kuwa na nguvu
 

Hongera kwa kujifungua
Pia kuwa na nguvu
Asante
 
Last edited by a moderator:

We naeee usiri gani huo?
Wasije waka mfunga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…