I dont know whether to laugh or cry mie Karucee daaaah

I dont know whether to laugh or cry mie Karucee daaaah

acha kaka manake nashindwa kuelewa a sexual assault toka kwa mzee at his 70's???? i never take it lightly aisee!!

If I was to go back to that evening I doubt I would be able to react any other way. I was confused. Pity, anger, a feeling of loss of dignity...
 
haa ha pole myd kurucee,ila wadada sie bana!!!!but kizee hikihiki kingekua pedeshee kuna mahali kingepata kibali ya kuscrew the a..ss kbs na wala it wudnt appear like an embarassment
 
Last edited by a moderator:
Najaribu kukuimagine jinsi ulivyopigwa na bumbuwazi la hali ya juu na uso kukushuka kwa kuadhiriwa hivyo mbele ya kadamnasi. Kariakoo kule ni sehemu noma sana, imagine kama ungekuwa na hubby zingepigwa ngumi za kufa mtu na hapo ndio babu angeweza kupiga kelele za mwizi na hili la kuitwa mwizi huombi likutokee Kkoo au sehemu nyingine yeyote ile maana wanaweza kukudedisha kwa dakika chache tu. Ustaarabu siku hizi nchini kwetu ni SIFURI pamoja na kumuomba samahani lakini akaamua kukuadhiri..... Pole sana aisee

HAhaaahahhhahah. U should have seen the shock on my face manake niliganda hapo akaendelea kunitomasa. Idiot.
 
If I was to go back to that evening I doubt I would be able to react any other way. I was confused. Pity, anger, a feeling of loss of dignity...

i can feel it my dearest!
 
Umenikumbusha enzi zile wanawake wenye wide load wanakimbia Kariakoo kwa kuogopa kushikwa wowowo....!!!

Yale maeneo ni hatari sana..

Hata hivyo huyo babu alikuwa anatafuta baraka za mwisho....hawezi kupona akikutana na watoto wa dotcom!!

Ndiyo maana wengine tulikimbilia shamba ambako tunaishi kwa raha zetu...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom