B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
wapendwaa katika jina la bwanaa...mwezenu sijui nini?kuna tabia nime kua nayo sasaa nimiaka NANE,yani sijui KUPENDA,nakumbukaa nilikuwa na gal nikiwa na umri wa miaka 18 nilimpenda sanaa,ilaa alirudi kwao rwanda.tokea hapo moyo wangu haujiskii kabisa kupenda mwanamke japo kuchakachua nachakachua ilaa ikipitaa mwezi na kutaa sina feelin za kumpenda tenaaa.nishajaribu kujifunza tena kupendaa ila nashindwaa,stakii kuangaikaa sanaa ila SIJUI KUPENDA TENA.now na miakaa 26.nshakuwa kwenye uhusiana kama mara 3 ilaa naona na waumiza tu wanawake cse moyoni sijui kumpenda tena mtu...WHY?