I don't know how 2 love...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
wapendwaa katika jina la bwanaa...mwezenu sijui nini?kuna tabia nime kua nayo sasaa nimiaka NANE,yani sijui KUPENDA,nakumbukaa nilikuwa na gal nikiwa na umri wa miaka 18 nilimpenda sanaa,ilaa alirudi kwao rwanda.tokea hapo moyo wangu haujiskii kabisa kupenda mwanamke japo kuchakachua nachakachua ilaa ikipitaa mwezi na kutaa sina feelin za kumpenda tenaaa.nishajaribu kujifunza tena kupendaa ila nashindwaa,stakii kuangaikaa sanaa ila SIJUI KUPENDA TENA.now na miakaa 26.nshakuwa kwenye uhusiana kama mara 3 ilaa naona na waumiza tu wanawake cse moyoni sijui kumpenda tena mtu...WHY?
 
una kasoro...! waone psychologists wakusaidie....! Vinginevyo, anika vitabia vyako vingine hapa ie hobbies etc...!
 
Kama hujakulia kwenye familia yenye upendo, wazazi wanapendana mapenzi ya dhati, wanawapenda watoto wao, ndugu na majirani zao ujue imekula kwako.
hujui kupenda kwa sababu hujakulia kwenye nyumba iliyojaa upendo
 
Akija wako utapenda mwenyewe tulia 26 bado sana subiri tu atakuja usijali dogo tulia kabisa
 
kwa kweli cjui hilo ni tatizo gani ila nadhani hujakutana na mwenye uwezo wa kuactivate moyo wako siku ukikutana naye utashangaa moyo unadunda kwa style uliokua ukidunda kwa yule mnyaruanda wako na utashangaa utaavyompenda!
huwezi kumpenda kila msichana ila atatokea mmoja atakayefanya uimbe yori yori!
 
Mh! Hata mimi nna hilo tatizo.. Yaani baada ya kupata ninachotaka huwa nawakinai ghafla...

Msaada tafadhali.
 
Ongeza ukaribu na mahusiano mema na watu wa jinsi zote, utajua tu.
 
wapendwaa katika jina la bwanaa...mwezenu sijui nini?kuna tabia nime kua nayo sasaa nimiaka NANE,yani sijui KUPENDA,nakumbukaa nilikuwa na gal nikiwa na umri wa miaka 18 nilimpenda sanaa,ilaa alirudi kwao rwanda.tokea hapo moyo wangu haujiskii kabisa kupenda mwanamke japo kuchakachua nachakachua ilaa ikipitaa mwezi na kutaa sina feelin za kumpenda tenaaa.nishajaribu kujifunza tena kupendaa ila nashindwaa,stakii kuangaikaa sanaa ila SIJUI KUPENDA TENA.now na miakaa 26.nshakuwa kwenye uhusiana kama mara 3 ilaa naona na waumiza tu wanawake cse moyoni sijui kumpenda tena mtu...WHY?

we jinsia gani pls kabla sijakushauri
 
kwa kweli cjui hilo ni tatizo gani ila nadhani hujakutana na mwenye uwezo wa kuactivate moyo wako siku ukikutana naye utashangaa moyo unadunda kwa style uliokua ukidunda kwa yule mnyaruanda wako na utashangaa utaavyompenda!
huwezi kumpenda kila msichana ila atatokea mmoja atakayefanya uimbe yori yori!

binamu kwenye red umenivunja mbavu
 
mi naona hupendi kwa sababu unamlinganisha kila msicha unayekutanae na yule uliempenda...
kama hili ndo tatizo pole sana...
 
kwa kweli cjui hilo ni tatizo gani ila nadhani hujakutana na mwenye uwezo wa kuactivate moyo wako siku ukikutana naye utashangaa moyo unadunda kwa style uliokua ukidunda kwa yule mnyaruanda wako na utashangaa utaavyompenda!
huwezi kumpenda kila msichana ila atatokea mmoja atakayefanya uimbe yori yori![/QUOTE]

hahaaaaaaaa cheusi umenichekesha mweee
 
kwa kweli cjui hilo ni tatizo gani ila nadhani hujakutana na mwenye uwezo wa kuactivate moyo wako siku ukikutana naye utashangaa moyo unadunda kwa style uliokua ukidunda kwa yule mnyaruanda wako na utashangaa utaavyompenda!
huwezi kumpenda kila msichana ila atatokea mmoja atakayefanya uimbe yori yori!
mmmh!!nimependaa hiiii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom