Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
"usisahau ukijua kupenda ujue na kuachwa vile vile"
sina neno
Ha ha ha ha haya buanah
"usisahau ukijua kupenda ujue na kuachwa vile vile"
sina neno
Hahha dogo unataka nimpoteze braza... atajipa pressure bure watoto wenyewe wa pwani nyie muda wote shanga kiunoni 😁😁
Mwanatumu you are my hope my strength you give me reasons to work hard to cherish you
in every way you give me courage and i promise my heart will always belongs to you
only you makes me understand the language of love i will say i thousand words still
it wunt be enough i love you soo much my love.
Hahaa ningekuwa wa pwani mbona ningejidai....hujawahi kuona uzi ule ulikuwa unawapondea mabinti wa kanda yetu ile?
We sio wa kwanza kupenda... wapo waliopenda zaidi yako mwisho waliishia kuchanganyikiwa
Yaani wewe..
Hahaa ningekuwa wa pwani mbona ningejidai....hujawahi kuona uzi ule ulikuwa unawapondea mabinti wa kanda yetu ile?
I don't afraid to die am afraid to lose you.
Wunt you!! Nawa oooo!!!