I didn't know untill it happened to me

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,720
Sikujua kama jamvi ili ni ulimwengu mwigine.
mpaka pale ambapo nilipoona uimwengu huu ukiwa nyuma yangu.

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine
mpaka pale ambapo ulimwengu huu ulivyojidhihirisha kwangu.

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine.
mpaka pale ambapo ulimwengu huu ulipothibitika kwangu

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine
mpaka pale ambapo ulimwengu huu uliniponipa ndugu, marafiki, na jamaa.

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine
mpaka pale ambapo ulimwengu huu uliponipa SnowBall, EMT snowhite na kufanyika washauri na msaada wangu nilipokutana na mtihani mkubwa sana sana ambao kiukweli ulikuwa ni muendelezo wa sehem ya tatu ya uzi wangu uliosomeka MITEGO YA DUNIA HII SIIWEZ.

My true friends SnowBall, snowhite na EMT nawashukuru sana sana kwa msaada wenu, Tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya.

love you buddies.
 
Last edited by a moderator:
mwl kumbe na wewe mashairi wayaweza? Nimekukubali na hongera

mwali niyawezee wapi mamii najaribu tu.
EMT, SnowBall na snowhite
nawapongeza kwa moyo wenu
naapongeza kwa busara zenu
nawapongeza kwa hekima zenu
nawapongeza kwa mafundisho yenu

wapenzi mlikuwa daraja nilipotaka kupita
wapenzi mlikuwa nguzo nilipotaka kusimama
wapenzi mlikuwa nuru nilipotaka kuona
wapenzi mlikuwa nguvu nilipotaka ujasiri
mnastahili shukrani zangu kutoka katika moyo uliopondeka.
 
Last edited by a moderator:
Yaani kama kuna kaudaku hivi kanataka kunipalia.niulize what happened to you!
Lakini basi, ngoja nimkemee shetani.
Lol, glad you are ok now.
Aisee, ilepending issue yetu na mwanao @blane nataka niwe serious sasa.
 
Yaani kama kuna kaudaku hivi kanataka kunipalia.niulize what happened to you!
Lakini basi, ngoja nimkemee shetani.
Lol, glad you are ok now.
Aisee, ilepending issue yetu na mwanao @blane nataka niwe serious sasa.
gfsonwin doesn't know about me if thats what unamaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…