Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,811
- 7,489
- Thread starter
-
- #61
Kwani Rehobohamu alikuwa diktetaKwahiyo unawaammbia watu wkuchague Ili uwe diktera,
Kidole chako Cha mwisho kiwe kikubwa kuliko kiuno chako?
Kwamba wakikuchagua, wataipata taabu mara mia zaidi kuliko uongozi uliotangulia?
Ni kosa kwa wewe ambaye unawaona wengine mavi ila wewe ndio una akili sana. You should seek medical help for mental issue.Kwani ni kosa
Ebu nionyeshe mstari wa biblia unaosema Rehobohamu alikuwa diktetaKwahiyo unawaammbia watu wkuchague Ili uwe diktera,
Kidole chako Cha mwisho kiwe kikubwa kuliko kiuno chako?
Kwamba wakikuchagua, wataipata taabu mara mia zaidi kuliko uongozi uliotangulia?
Ni wapi nimesema watu wengine ni mavi ebu nionyesheNi kosa kwa wewe ambaye unawaona wengine mavi ila wewe ndio una akili sana. You should seek medical help for mental issue.
Haki ipi ? Ya kutafuta attention .. ? Unadhan urais ni kuamka asubuhi na unakua rais kama unakunya . ..embu endelea na uwinga hapo kariakoo usitusumbue.Ni wapi nimesema watu wengine ni mavi ebu nionyeshe
Yes am proud kusema naakili hata wewe hujakatazwa kwa hiyo usikasirike watu wengine wakitumia haki yao
Mbona unahamisha magoli tenaHaki ipi ? Ya kutafuta attention .. ? Unadhan urais ni kuamka asubuhi na unakua rais kama unakunya . ..embu endelea na uwinga hapo kariakoo usitusumbue.
..tatizo la mental health linazidi kua kubwa kila kukicha na serikali haijaliweka kwenye alert ..mtu anaamka asubuhi anataka kua rais 😂😂😂 mara ana akili sana . ..Marais hawajisemi kwenye mitandao ...hii ni mental case ...Mkuu una kitu cha ziada na kikubwa sana. Keep it up. Positive mental attitude yako ni amazing.
Ndo maana nimesema i am not playing by the rules..tatizo la mental health linazidi kua kubwa kila kukicha na serikali haijaliweka kwenye alert ..mtu anaamka asubuhi anataka kua rais 😂😂😂 mara ana akili sana . ..Marais hawajisemi kwenye mitandao ...hii ni mental case ...
Seek medical help fast for mental issue problem.Ndo maana nimesema i am not playing by the rules
Tumia haki yako ya kutoa maoni sababu neno lako sio sheria kwa hiyo endelea kujifurahisha inarusiwaSeek medical help fast for mental issue problem.
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaWe nae unaumwa sema hutaki kumeza dawa tu
Mimi sina linkDennis Robert Shughuru mbona najaribu ku search matokeo yako ya Form IV siyapati? Link tafadhali
I dont not play ❌Kwanza rekebisha heading , grammer haijakaa vizruri ni “i dont not play”
Sawa Mr President cha msingi kero za Tanzania unazijua na mipango madhubuti ya kutatua matatizo unayo. You will be a very good president in the near futureMimi sina link
Mimi darasani nilikuwa wakawaida tu sikua kipanga hata
Hongera kwa kushiriki na karibu tenaInapendeza kuona Rais wetu wa JF unanufaika na zao la bangi nchini.... hakika wewe ni Rais wa mioyo ya wala ganja.