I DENNIS ROBERT SHUGHURU am not play by the rules

Mkuu embu tafuta ata mtu kijiweni akushauri, haya mambo mengine si kila mtu anaweza kuyafanya

Mwambie mangi hapo jirani akupe balimi tatu baridi utulize huo utosi
 
Ras Simba anahitajika huku kunyoosha Kiingereza.
 
Huu uzi nimechanganyikiwa sana, naona vitu sielewi halafu kuna wadau wanakuja wanamwambia mtoa mada ana akili sana kwahyo nagundua mi sijamuelewa kwa ujuha wangu... enewei mheshimiwa, naomba unikumbuke hata unaibu waziri mkuu
 
(2 Nyakati 10:10).

Kidole changu Cha mwisho ni kikubwa kuliko kiuno changu.

...Mwisho wa kunukuu....

Kauli hii kama ilivyotumika ni ya kuonyesha kibri, kwamba ukipewa Nafasi, utawaumiza na kuwakandamiza wote watakaokuchagua.

Sijui unafikiri Nini hasa.
 
Huu uzi nimechanganyikiwa sana, naona vitu sielewi halafu kuna wadau wanakuja wanamwambia mtoa mada ana akili sana kwahyo nagundua mi sijamuelewa kwa ujuha wangu... enewei mheshimiwa, naomba unikumbuke hata unaibu waziri mkuu
Sio wote waliosema mimi nina-akili kuna ambao wamesema mimi ni kijaa na mjinga ni mitazamo ya watu
 
Mimi nimejisemea mimi na sijawaambia watu

Rehobohamu aliwaambia watu ilihali mimi nimejisemea mimi huoni kama kuna utofauti

Nakuonaga mara nyingi sana unajiona sana unaju biblia hata mimi naijua biblia nimeshaisoma na kuimaliza zaidi ya mara nne kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo wa Yohana

Rehobohamu aliwaambia makabila kumi sababu yalikuwa tayari yameasi in-short alikuwa anawaambia waasi
 
Unaelewa ulichokiandika?

Kwamba umejisemea ulimaanisha Nini?
 
Unaelewa ulichokiandika?

Kwamba umejisemea ulimaanisha Nini?
Rehobohamu aliwaambia makabila kumi sababu yalikuwa tayari yameasi in-short alikuwa anawaambia waasi kwamba kidole changu ni kinene kuliko viuno vyenu

Kauli ya Rehobohamu hakiuwa na kosa lolote sababu ulikuwa ndo ukweli wenyewe na alikataa ushauri wa wazee wa kuwambia uongo a.k.a maneno matamu

Kosa la Rehobohamu ni kuwa mkweli na sio kitu kingine na iliiuwa lazima iwe hivyo ili mpango wa Mungu utimie
 
Rehobohamu aliwaambia makabila kumi sababu yalikuwa tayari yameasi in-short alikuwa anawaambia waasi

Kauli ya Rehobohamu hakiuwa na kosa lolote sababu ulikuwa ndo ukweli wenyewe na alikataa ushauri wa wazee wa kuwambia uongo a.k.a maneno matamu
Huyo mfalme alikataa ushauri wa wazee wenye kutumia busara walipomshauri akae vizuri na watu wale Ili wamtii aweze kutawala bila shida,

Mfalme akawapuuza na kusikiza ushauri wa vijana waliomshauri awatendee jeuri zaidi,

Na matokeo yake, ushauri wa vijana, ulimponza, ukatokea uasi, makoloni yake yakaparaganyika.

Sasa nikuulize Tena,

Unajua ulichokiandika bila kutafsiri vyema na madhara yake?
 
Wale walikuwa tayari wameasi unategemea nini na tayari walikuwa wameshamrudisha Yerohohamu kutoka misri kama mfalme wao mtarajiwa ulitegemea Rehobohamu awajibuje

Nikusaidie walienda kwa Rehobohamu tayari wameshapanga nini cha kufanya
 
Wale walikuwa tayari wameasi unategemea nini
Kwahiyo unawaammbia watu wkuchague Ili uwe diktera,

Kidole chako Cha mwisho kiwe kikubwa kuliko kiuno chako?

Kwamba wakikuchagua, wataipata taabu mara mia zaidi kuliko uongozi uliotangulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…