Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,771
- 7,442
Watanzania tunaogopa sana kukoseaAm not play by the rules
Play❌
Playing✅
Au nasema uwongo?
Kwa hiyo una kiuno nyigu.Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Huwezi elewa hiyo ni lugha ya pichaKwa hiyo una kiuno nyigu.
Man, stop getting high on your own supply. I can see day after day your shit is getting realer.Sina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi
Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila nipo kwenye kinyanganyiro cha urais narudia tena nguvu ya wananchi ndo watakaoniweka madarakani
MIMI NI WINGA NA NALISEMA HILI PASIPO KUOGOPA AU KUONA AIBU TUNAJUA HUKU JAMIIFORUM KILA MTU ANAVIMBA ILI AONEKANE ANA FEDHA MIMI SIO MASKINI WALA TAJIRI
sijasoma masomo ya science niliyakimbia tokea form two ila idea za science nilizokuwa nazo ni za ki-legend sijisifu hapana ndo ukweliSupport hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
My spiritual life are extreme chaotic, painful and legendary
Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Sio lugha yangu ya kwanza mbona umshangai mzungu akiongea kiswahili brokenUnakipenda sana Kizungu, ila chenyewe hakikupendi. Unaweza kukuta na wewe umemaliza form IV!
Ahsante kwa kushirikiMan, stop getting high on your own supply. I can see day after day your shit is getting realer.
Kubali usahihisho mambo mengine yaendeleeWatanzania tunaogopa sana kukosea
Hizi ni dhihaka; Hapa unadhihaki uwezo, hadhi, au thamani ya mwingine kwa kujilinganisha na sehemu ndogo ya mwili wako mwenyewe.Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Hiyo ni lugha ya pichaHizi ni dhihaka; Hapa unadhihaki uwezo, hadhi, au thamani ya mwingine kwa kujilinganisha na sehemu ndogo ya mwili wako mwenyewe.
Haya Mr. President.
Wataelewa tu na lengo litatimia historia nzuri ni ile iliyoandikwa in an ugly wayWewe una akili nyingi Sana Ila pia hauwezi kutimiza lengo lako kutokana umetumia muda mwingi kuwa underutilized.
Je hapo SUA ulisomea Course gani ?
Okay Ila kuna njia mbili za kuongeaWataelewa tu na lengo litatimia historia nzuri ni ile iliyoandikwa in an ugly way
Katika mambo ambayo siogopi ni kukosea huo mtihani nilishafauluguKubali usahihisho mambo mengine yaendelee
Mzee wa genetics kafanya kazi yake kamaliza hakuna aliyemwelewa kamaliza kafariki baada ya miaka 10 ndo wanakuja kumuelewaOkay Ila kuna njia mbili za kuongea
-Kuongea kwa ufahamu wako
-Kuongea kwa ufahamu wa watu.
Unajua wewe unaongeaje?