Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,304
Mbona hata nyie kutwa kwenda gym ili m-tone miili yenu....
Aaah, sie sio kutwa manake shopping sprees zinafidia
:bounce:
Mbona hata nyie kutwa kwenda gym ili m-tone miili yenu....
Gainjin Anazungumzia vitu viwili tafauti ,kwanza mwamme kwenda gym na kuengeza misuli ili avutie kwa wanawake hilo ni moja ,kwani misuli si kitu cha kubanduwa na kubandika unapoipenda unapenda unachokiona,lakini kina dada wamekuwa watu wa mazingaumbwi,inakuwa kama biasha ya wizi unanunuwa kiatu unafungiwa makaratasi ukifika nyumbani unapiga mayowe .na ndio unakuta leo Mwanamme anavutiwa na mwanamke kesho anatoka kinu humuoni tena alichokiona hakipo
Halafu wanawake wengi wa kibongo sidhani hata kama misuli inawavutia. Wao wakiona misuli wanakuita "baunsa". Tena hapo ndiyo wanazidi kujionyesha walivyo watupu kwa sababu "baunsa" au "bouncer" haimaanishi ni mtu aliye musclebound. But then again ni wabongo...to many ignorance is a virtue.
Vipi baba, misuli yako haikukusaidia nini kuinua hadhi ya soko lako? :whistle:
Well....ask Mwali, queenkami,.....should I go on down the list?:becky::majani7:
Bwahahaha, endelea :heh:
Kuna mada ya 'gentleman'....unaikumbuka ile?
Hahahaha umetishaa!
Ila wote hao wanakuwa wameona misuli?
Au ndio if you have it flaunt it?
Check my resume G....
My record is impeccable.
Kweli kumradhi, soko lako kwa JF tu, lipo juu!
Gym oyee
Unamkumbuka Cupcake?:becky:
Mkuu umenifanya nicheke sana baada ya kusoma maelezo yako ya hapo juu ,kilichonipelekea kucheka zaidi mambo mawili moja hiyo ya wanawake wa kibongo kutokuwa na mvutio wa mwamme mwenye misuli ,lakini inapokuja mwanamme mwenye kitumbo wanakuwa na shauku nae ,pia kuna kitu chengine wanawake wa kibongo si wapenzi wa wanaume waliobahatika maumbile yanayomfanya mtu kuitwa mwanamme ,wakigunduwa mzigo haubebeki hutowa visingizio na huwaoni tena lakini ukija kwa wanawake wa west wao inakuwa hawaoni wala hawasikii wanakuendea mbioHalafu wanawake wengi wa kibongo sidhani hata kama misuli inawavutia. Wao wakiona misuli wanakuita "baunsa". Tena hapo ndiyo wanazidi kujionyesha walivyo watupu kwa sababu "baunsa" au "bouncer" haimaanishi ni mtu aliye musclebound. But then again ni wabongo...to many ignorance is a virtue.
Hawa "Nouveau-riche" wana tabu sana.
Masikini akipata...
And I thought "Muke ya Muzungu" was bad!
You couldn't have say it any better,without all that makeup and designer clothes she would look like a piece of trash that i could never pick up.She is ugly.