I cant read anything about Nape

vivian

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
1,731
Likes
52
Points
145
vivian

vivian

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
1,731 52 145
Guys.

I have a problem of reading anything from Nape.

Hata kama anaongelea katiba na nilivyo na usongo nayo. nikiona shati la nape tu nakosa hamu ya kusoma.

Nitafanayaje jamani. Hivi nitakua namchuki a sana au?

My feelings about Nape:

Why is he cheating himself. Does he really believe CCM is taking us the right way?

Does he really support all the ccm actions wholly heartedly?

NAPE:
1. Unajua serikali ilimuuzia Mohamed Dewji mashamba ya Mkonge ikiwa na mvule bila kujua dhamani ya ile mivule. kilichofanyika Dewji alikopa pesa benki akanunua yale mashamba then afterwards akavuna ile mivule akalipe deni benki akabaki na mashamba ya mikonge pamaoja na mikonge yake.

2. Hivi ubinafsishaji unaofanyaka mbona tunauza kila kitu bila kuwa na utaratibu wa kufaidika na baadae, hivi kwanini tulibinafsisha kiwanda cha beer pamoja na Brand ya Safari larger? do you know how well safari larger is doing in the world marked today. Kama hujui ina mpaka bar code so inaweza kuuzwa popote duniani

3. Hivi unaujua utaratibu unaotumika kuchimba madini yetu? unajua hapa inabai asilimia ngapi na wao wanachukua ngapi?

4. Nape!! Unajua ni nafasi ngapi wameajiriwa wageni ambazo watanzania can do wonders? hivi ni kweli hatuna wataalam wa project management? how many foreign priject managers do we have?

5. Nape!! Unajua ni kiasi gani cha pesa kinapotea pale customs kwa njia ya rushwa. Contener la kulipia ushuru 60M mtu anapewa 10M ushuru unalipwa 20M mambo yanaendelea.

6. Do you know there are mare citizens who cannot even afford a bus fare? they walk to office and back home daily.

Ninaamini unajua yote haya but unafumbua macho coz hutaki kupoteza mkate wako huko.

I just hate everything about you?
 
damian marijani

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Messages
697
Likes
260
Points
80
damian marijani

damian marijani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2010
697 260 80
CCM leaders have become tender-businessmen and megalomaniacs who have no time to care for a common mwananchi. They are so confident that they are right and completely out of touch with reality. As a result they have completely sold the country to any Tom, Dick and Harry who could spare few million shs to the so called leaders or politicians.
 
MASIKIN JEURI

MASIKIN JEURI

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Messages
134
Likes
0
Points
0
MASIKIN JEURI

MASIKIN JEURI

Senior Member
Joined Jan 31, 2013
134 0 0
Guys.

I have a problem of reading anything from Nape.

Hata kama anaongelea katiba na nilivyo na usongo nayo. nikiona shati la nape tu nakosa hamu ya kusoma.

Nitafanayaje jamani. Hivi nitakua namchuki a sana au?

My feelings about Nape:

Why is he cheating himself. Does he really believe CCM is taking us the right way?

Does he really support all the ccm actions wholly heartedly?

NAPE:
1. Unajua serikali ilimuuzia Mohamed Dewji mashamba ya Mkonge ikiwa na mvule bila kujua dhamani ya ile mivule. kilichofanyika Dewji alikopa pesa benki akanunua yale mashamba then afterwards akavuna ile mivule akalipe deni benki akabaki na mashamba ya mikonge pamaoja na mikonge yake.

2. Hivi ubinafsishaji unaofanyaka mbona tunauza kila kitu bila kuwa na utaratibu wa kufaidika na baadae, hivi kwanini tulibinafsisha kiwanda cha beer pamoja na Brand ya Safari larger? do you know how well safari larger is doing in the world marked today. Kama hujui ina mpaka bar code so inaweza kuuzwa popote duniani

3. Hivi unaujua utaratibu unaotumika kuchimba madini yetu? unajua hapa inabai asilimia ngapi na wao wanachukua ngapi?

4. Nape!! Unajua ni nafasi ngapi wameajiriwa wageni ambazo watanzania can do wonders? hivi ni kweli hatuna wataalam wa project management? how many foreign priject managers do we have?

5. Nape!! Unajua ni kiasi gani cha pesa kinapotea pale customs kwa njia ya rushwa. Contener la kulipia ushuru 60M mtu anapewa 10M ushuru unalipwa 20M mambo yanaendelea.

6. Do you know there are mare citizens who cannot even afford a bus fare? they walk to office and back home daily.

Ninaamini unajua yote haya but unafumbua macho coz hutaki kupoteza mkate wako huko.

I just hate everything about you?
Wow..! unakajicho kazuri mrembo Vivian, ningekuwa sijaoa ningeku pin afu nikala good time chemba! afu hasira zako kwa Nape ni kama hasira zangu kwa viongozi Wengi wa CCM. Lijitu linajua ukweli kabisa afu linashadadia umbea kisa anajipendekeza kwa viongozi wake ale mkate, anasahau jamii yake hapo badae
 
LEARNED BROTHER

LEARNED BROTHER

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
384
Likes
255
Points
80
LEARNED BROTHER

LEARNED BROTHER

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
384 255 80
Nape Nnauye
 
Last edited by a moderator:
M

mititi

Member
Joined
May 16, 2013
Messages
51
Likes
0
Points
13
M

mititi

Member
Joined May 16, 2013
51 0 13
Only few people who have a great mind (IQ) can speek like that.Big up,i wish i could kiss u
 
Niwemugizi

Niwemugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
909
Likes
44
Points
45
Niwemugizi

Niwemugizi

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
909 44 45

NAPE:

4. Nape!! Unajua ni nafasi ngapi wameajiriwa wageni ambazo watanzania can do wonders? hivi ni kweli hatuna wataalam wa project management? how many foreign priject managers do we have?
Mimi hii namba nne ndiyo huwa inaniacha hoi sana kwenye nchi yetu ya Tanzania, kila siku tunalia eti hakuna ajira lakini ukweli ni kwamba kuna wageni ambao wanafanya kazi kwanza isivo kihalali yaani hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania lakini wanafanya kazi vizuri plus tuna wageni wanaofanya kazi za kawaida ambazo waTanzania wengine wanaweza kuzifanya tena kwa kiasi kidogo cha pesa kulinganisha na hizo expatriate fees ambazo kila kukicha tunawatolea hawa wageni. So am sure tukilifanyia kazi hili la wafanyakazi haramu wa Tanzania kwa kuanzia tunaweza tukacreate ajira zisizopungua 20,000 mpaka 50,000 kwa mahesabu ya haraka.Jamani hapo ni haba ndugu zanguni
 
vivian

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
1,731
Likes
52
Points
145
vivian

vivian

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
1,731 52 145
Mimi hii namba nne ndiyo huwa inaniacha hoi sana kwenye nchi yetu ya Tanzania, kila siku tunalia eti hakuna ajira lakini ukweli ni kwamba kuna wageni ambao wanafanya kazi kwanza isivo kihalali yaani hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania lakini wanafanya kazi vizuri plus tuna wageni wanaofanya kazi za kawaida ambazo waTanzania wengine wanaweza kuzifanya tena kwa kiasi kidogo cha pesa kulinganisha na hizo expatriate fees ambazo kila kukicha tunawatolea hawa wageni. So am sure tukilifanyia kazi hili la wafanyakazi haramu wa Tanzania kwa kuanzia tunaweza tukacreate ajira zisizopungua 20,000 mpaka 50,000 kwa mahesabu ya haraka.Jamani hapo ni haba ndugu zanguni
Always pain me.

Mimi sio muumini wa chama chochote ila napenda utendaji mzuri.
 
Forum statistics

Threads 1,273,309
Members 490,351
Posts 30,477,674