I can feel how it feels to lie in getting someone.

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Embu kaa ufikirie leo hii wewe mwanaume ni mwanamke halafu akaja mwanaume aliekutamani akakutongoza kwa gia ya kukupenda na blar blar kama nataka nikuoe then ukakupata kwa imani kwamba umepata mtu wa kukupa amani na furaha ya maisha. baada ya muda anakupiga chini tena bila sababu ya msingi. wewe kama mwanaume utajiskiaje ukiwa umevaa huo utu wa mwanamke.....najuajibu ni vibaya mno tena kama kufa kufa.....na tabia hii ndio inaliyofanya wanawake wengi kuwa na tabia ya kua na mahusiano mengi maana hajui ni wapi pana maanisha....pia ni katka kujiwekea security. NAWASHAURI WANAUME WENZANGU TUSIWE TUNAWADANGANYA HAO WENZETU KWA KUA MWISHO WA SIKU UTAMFANYA AUMIE NAKUBAKI NA MAUMIVU HUKU IMANI IMESHATOWEKA.

NA NYIE WANAWAKE KUWENI NA MOYO WA UVUMILIVU MSIWE WARAHISI PALE MTU ANAPOKUTONGOZA KWA KUA NI NJIA MOJA WAPO YA KUPIMA NIA NA DHUMUNI LA MOYO WAKE. WENGI WANAOKUJA KWA NIA YA TAMAA SIO WAVUMILIVU WANAKUJA UKIWASIMBUA BAADA YA WEEK ANACHANA NA WEWE HAPO UNAJUA NIA YAKE JAPO SIO 100%.
 

wewe hujawah kudanganywa na mwanamke? acha kutetea kila upande una tatizo
 
Wakati mwingine hata sie wanawake hatutaki ndoa, tunataka kulana tu afu kila mtu ashike hamsini zake.
 
Wakati mwingine hata sie wanawake hatutaki ndoa, tunataka kulana tu afu kila mtu ashike hamsini zake.

Nlikua nae mmoja alisema hataki ndoa sisi tufurahi tu basi saiz naona sera zimebadilika kakazana kila siku ndoa ndoa.
 
Hiyo inaitwa miscalculation, ipo kila mahali. Hasara yake, mume huwa anajulikana hata kabla hajatongoza. Sasa keshatongozwa, na mtu keshapiga magemu kadhaa bado hajajua kama ndio mume? Lazima ana uji kichwani.

Nlikua nae mmoja alisema hataki ndoa sisi tufurahi tu basi saiz naona sera zimebadilika kakazana kila siku ndoa ndoa.
 
watu wanaongea uongo had miti inaona aibu khaa!
Kwa suala la mwanamke kuwa na wanaume wengi kama defence mechanism kwangu naona ni ujinga uliopitiliza kwasababu cha mwanamke ndio kinachochakaa .

huhuhuhuhuhuuuuuuuu
 
Sio kweli. Kama wewe ni mwanaume unaweza tambua kuwa hata wewe unachakaa. Kama unabisha hebu jipie kwa kukojoa mkojo uone kama mkojo wako unaenda mbali kama ilivyokuwa miaka mitatu au minne iliyopita, ng'oooooo kitu used kinomaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…