KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Hivi watu huwa wanasema tatizo la huyu waziri kivuli wa fedha Mbatia asiwe pendekezo la UKAWA kuwa mgombea uraisi ni nini?
Mimi namuaminia sana concious yake na uwezo wake wa kuwa focused on isssues at hand.