Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,458
- 617
nina ibook g4 ambayo ukiwasha inatoa alama ya aple na haiendelei zaid ya hapo. nikibonyeza option wakat wa kuwasha haiji sehem ya kuchagua uboot toka wapi.
Cha ajabu KILA NIKIWEKA CD AU DVD INAKAA THEN BAADA YA MUDA INATOA CD YENYEWE. msaada wadau
Cha ajabu KILA NIKIWEKA CD AU DVD INAKAA THEN BAADA YA MUDA INATOA CD YENYEWE. msaada wadau