I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
Hii mada imekugusa sana Paka Jimmy, nadhani cha moto ulikipata kwa hiyo ndizi mshale, mi nimewapa jina hilo baada ya kuona mwenzangu wanampearl kama kitunguu, hawana huruma watu hawa, hajui kujishusha, mchaga kwake hiyo ni mwiko babaangu, dharau ndio usiseme yaani ni za kuchota, hawafugigi hao ni kunguru mtu wangu, watu wote wanajua, sasahivi hata wanaume wa kichaga wamefunguka macho wengi hawaoi kwao, nenda moshi utashangaa ukienda baa mitaa ya kiboroni 65% ni wanawake wenyewe wamekaa, usiulize piga gambe utambae, sasa hivi moshi mijimama ya kichaga inatafuta dogodogo ili limnyanyase uzuri, waliojiandaa kubisha nawasubiri nina hasira nao tupo na Paka Jimmy 2takwenda nanyi sambamba

Du,mwana! me nabisha,wachagga si kunguru, ukioa mchagga kama wewe si mchakarikaji lazima utakuja na story kama hizi, kwa kifupi utachapika na utaachwa, watoto wa kichagga hawataki wazembe kama nyie ambao hampendi kutafuta mali, wachukulie poa, nakubali wachagga ni changamoto kwa makabila yote Tanzania, kwani hata wahaya walikua wanatamba na elimu kipindi cha nyuma angalia sasa ivi vyuo vikuu jinsi wachagga walivyojaa, waliichukua hiyo kama challenge na wakaifanyia kazi. Think about it
 
Hayo sasa ni ya kwako. Mambo ya tigo ni ya watu wa Pwani, Mombasa, Tanga na Z'bar ndiko kunasemekana kuwa na mchezo huo sana. Sasa Mchaga na tigo wapi na wapi? Angalizo, mimi siyo mchaga!

Labda akigawa tiqo dau linakuwa kubwa
 
No comment nimekuwa na madem watatu ujana wangu walikua wakichaga kilichonikuta puuuuuuuuuuuu sitaki hata kusikia
 
Hawa watoto wa kichagga achana nao bwana kwanza wao hawajui thamani ya mapenzi "there after money", ubinafsi, uchoyo, jelous....Hata kama amesoma vipi......... ni hatari sana hawa; wako tayari kuua sababu ya pesa hasa Machame. Ukichumbia uchagani wakati wa utambulisho yule fiance wako anaulizwa na wazazi wake "mchumba ako ana kabati ya mbeho" (yaani fridge) kama huna ndugu yangu mchumba umemkosa. siku hizi wameendelea wanauliza "mchumba ako ana digirii ngapi" . Ndugu yangu wala usiwaze ukimuoa mtoto wa kichaga ukiishiwa tu, hakuna maelewano; hawajui mapenzi hawa. MPENZI WAO NI PESA TU.!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
No comment nimekuwa na madem watatu ujana wangu walikua wakichaga kilichonikuta puuuuuuuuuuuu sitaki hata kusikia

Hizo zilikuwa ni tabia zao binafsi tu na wala haziwezi kuwa-disqulify Wachaga wote.
 
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
heshima Mkulu... nakumbua kuna mchango wako kktk moja ya sreads zilizopita humu... nahc kama unakuchomea utambi kulingana na maoni yako ya leo..hasa ktk anga ya 'kuchakachua sita kwa sita':smile-big:
 
nilishakoma mimi na hawa mabinti wa kichaga!

walinifanya kitu mbaya sana
 
Naona mnawasema dada zangu ila me nshakuwa na dem mhaya amekaa kibiashara sana na nimemkimbia na nimekubali kabisa asilimia kubwa ya wahaya wauza nyapu
 
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.

Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
Ukiniambia ni wasoma magazeti, aka wazembe kitandani nakubali bila shida .............. ukiondoa wamachame ambao hata mimi sijui kama kuna ukweli kuwa huwa wakoa after money and they can kill there husbands ........... hawa wengine ni wachakarikaji kutafuta hela. Kama wewe ni mvivu wa kutafuta hela itakuwa kwako au utaumbuka maana wao wataitafuta .................. angalizo nina mchumba wa kichaga ... :smile-big:
 
Not comfermed..........................
Jamani Kama ujafanya UTAFITI , USITOE tuhuma ambazo :tape: huna uhakika nazo.... Co kama nawatetea MABINT, Bali MAMA yangu ni MCHAGA PURE. Natangu nazaliwa hayo huyasemayo ckufanikiwa kuyaona....... HACHA HUTUCH... :bowl:
 
mabinti wa kichaga wazuri.. wasomi, wanapenda maendelea.. nafkiri mtu kama huwezi bora uoe kwenu
 
Ukiniambia ni wasoma magazeti, aka wazembe kitandani nakubali bila shida .............. ukiondoa wamachame ambao hata mimi sijui kama kuna ukweli kuwa huwa wakoa after money and they can kill there husbands ........... hawa wengine ni wachakarikaji kutafuta hela. Kama wewe ni mvivu wa kutafuta hela itakuwa kwako au utaumbuka maana wao wataitafuta .................. angalizo nina mchumba wa kichaga ... :smile-big:

In deed mkuu, mana hata mimi wangu ni mchaga... na ninafanya kazi siku hizi uku arusha hivo nipo karibu nae, kiukweli nimepata maendeleo ya fasta sana kwa mda mfupi mana wanaamasisha na kupangilia matumizi ya kipato,, kwasasa sijamuoa bado yupo kwao ila mabadiliko ni makubwa
 
Mh! sina hata cha kuongea hapa kwani karembo kangu ni kachaga halafu kamemega na damu ya kihaya hapo chacha! ukimwambia leo tunaenda kumtembelea anko anakuuliza ana gari lol. Yawezekana yanayosemwa ni kweli
 
wakati si wengine tunawatafuta hatuwapati ila tunatofautiana kama ww unataka mke awe beki tatu we oa kwenu lakini kama unataka msaidizi wakimawazo na wakulea watoto
 
Ndugu zangu tuseme ukweli, hao labda waoane wenyewe kwa wenyewe!! yaani mchaga kwa mchaga ila vinginevyo umekwishaaaaaaaaa
usije ukaoa hao labda kama unatoka hukohuko malezi yao ni ya hovyo sana na wanatabia ambazo haziwezi kuungwa mkono na jamii iliyo makini
 
mtu yeyote anaweza kuwa mzuri au mbaya. hata wahaya na wanyakyusa hawaolewi na makabila mengine kwasababu wanaamiinika kwa wanakuwa na mafiga matatu na kidumu...kila kabila lina shetani wake, ukienda kwa wahehe, kujinyonga, wazaramo wanacheza t u ngoma na hawataki kufanya kazi, watanga libwata, etc. ukiangalia sana utakuta ngoja tumjaji mtu binafsi na si kabila lote.
 
Siku hizi hamna afadhali. We oa kokote utakakooa provided umeoa msichana wa kisasa matatizo ni yale yale. Sanasana ukifuatilia sana ishu za makabila mwisho hutaoa kabisa. Mfano kuna makabila yanayojulikana kuwa ni very loving n caring, ila wana matatizo mengine makubwa! Wengine hiyo loving n caring wanai extend kwa kila mwanaume! Sasa hapo afadhali iko wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom