Ndugu zangu tuseme ukweli, hao labda waoane wenyewe kwa wenyewe!! yaani mchaga kwa mchaga ila vinginevyo umekwishaaaaaaaaa
usije ukaoa hao labda kama unatoka hukohuko malezi yao ni ya hovyo sana na wanatabia ambazo haziwezi kuungwa mkono na jamii iliyo makini
Na wengine imara kwa sayansi ya kuruka kwa ungo :alien:Siku hizi hamna afadhali. We oa kokote utakakooa provided umeoa msichana wa kisasa matatizo ni yale yale. Sanasana ukifuatilia sana ishu za makabila mwisho hutaoa kabisa. Mfano kuna makabila yanayojulikana kuwa ni very loving n caring, ila wana matatizo mengine makubwa! Wengine hiyo loving n caring wanai extend kwa kila mwanaume! Sasa hapo afadhali iko wapi?
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.
Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.
Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
Mimi mtakwaji ndo nakwambia, ka unabisha, bisha!!! hulazimishwi.
Kabila gani wanaweka maslahi binafsi mbele((
Hii ni overgeneralizationNimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.
Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.
Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
Zaidi ya ugonjwa wa moyoSeriously? Hivi naanzaje kuoa mchaga au kuwa na mchumba mchaga...
Funga bakuli lako zumbukuku wewe tafuta kabila lako tangu lini kunguru akaruka na njiwa pamoja hawafanani. Tafuta kabila lako wachaga tunaona wenyewe kwa wenyeweKuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
Zumbukuku weweMabinti wa kichaga bomu na hatari..wao wanachojali ni kujinufaisha wenyewe wako selfish sana. Wanakuwa na waume zao kwa sababu za manufaa yao kama kuwapeleka ng'ambo,wakunyang'anye nyumba na mali apeleke kwao etc.na ukiona wanaume wengi waliooa wanawake wa kichaga ni watumwa wa ndoa au mapenzi yao. Wengi walidanganyika na rangi za hawa wamama lakini kwa ujumla hawana malezi wala mafunzo ni bomu..Tumeona na tunaishi nao.....yes i said so!!