si kweli hata chembe,shughuli yao pevu(hasa akiamua).Nasikia pia hawa mabinti wa kichaga hata kwenye mambo ya ndani (mapenzi) huwa sio wachangamfu kidogo, huwa wanakuachia tu mzee unahangaika peke yako, je mwenye ukweli au habari sahihi juu ya hili jamani auweke hapa.
Kijuso,huyo demu wako haingii Jf? maana.......dugu yangu bana niulize mie, ninae mmoja hapo south ni hatari kutoka kibosho kama gogo kitandani !!!!nimekoma ninanatafuta mbinu nichomoke!!!!!
Mguu wa bia? kuna mwanamke wa kichaga mwenye mguu wa bia?ndugu we sema tu wana sura nzuri na wengi wao ni weupe lakini la mguu no!
acha chuki binafsi ww!!hujatakwa ila umetaka ukakataliwa ndo unaleta maneno hapa!
Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.
Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.
Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.
Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
watu wakikosa ya kuonge autawajua tu, topc za ajabu ajabu kwani lazima muowe wachaga si mkaoe kwenu huko pwani kama wamachame wamewashinda, nimeboreka mno
Huo utafiti wako umeufanya kwa muda gani, mpaka umeyaona yote hayo?