kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
Huo utafiti wako umeufanya kwa muda gani, mpaka umeyaona yote hayo?
Huo utafiti wako umeufanya kwa muda gani, mpaka umeyaona yote hayo?
Si hao wawili tu aliowasema hapo!!!??? Muulize kwanza yeye kabila gani? ili tutafute wanaume wawili wa ushuhuda wake
SI unajua tena....
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu
Una Degree? Unayo 'STOUT'? Una 'KABATI ya MBEHO'?Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii. kuna jamaa rafiki yangu sana anamchumba wake ni mchaga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichaga sio wa kuoa. kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. na wanatumia mapenzi kama fimbo. sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. sasa nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachaga ndoa zikoje?
Frustated mind....alwaysDemu wa kuhonga nae demu....we peleka simu ya mchina huko, ucheze nae dimbadimba!... We are talking the issues here, feeling offended-the gates are open!
No!Vipi kuhusu Baba yako nae ni mchaga? coz ninavyojua mimi ni kuwa wachaga wanawezana wao kwa wao.
mhh si kweli .Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii. kuna jamaa rafiki yangu sana anamchumba wake ni mchaga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichaga sio wa kuoa. kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. na wanatumia mapenzi kama fimbo. sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. sasa nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachaga ndoa zikoje?