I am so lonely and depressed, stressful

Salaam hambo chiki!! Mimi vigezo ninavyo, ila tu sina kipato/ajira. Niko nafanya mchakato wa kujiajiri ikiwezekana. Naamini hii haitakuwa sababu ya kunikataa maana umesema kutokuwa na pesa sio sababu ya kuninyima " sukaryi ". Ni pm tuyajenge
 
Duuuuh hiyo Musoma imeniengua kwenye kinyang'anyiro
 
Du' kweli misharobaro haifai dada yenyewe kuvaa kata k tu mfukoni hakuna kitu' kila la her utampata tu.
 
MUSOMA NA MANYARA HAWAITAJIKI HUKU
BY
MANAGEMENT
 
Humble chick umeshampata? mimi nimetoka kuachwa hivi karibuni! umri wangu ni miaka 36. nipo moro. nimejiajiri. ni mkrito wa madhehebu wa kkkt. kifupi nimeokoka. nimeumizwa na mpendwa mwenzangu!
 
Humble chick bado hujapata tupe mrejesho nani kashaanza kuomba papuchi ....
 
Vigezo ninavyo ila nimeogopa kukupm najua zimejaa hata mda wakuzijibu utakuwa mdogo kwako...kimsingi nahitaji hivyo nikiona concern yako hata kwa ku quote tu i will back to you have nice choosing.
 
Kwa jinsi ya uandishi wako ur supper mapepe and it most likely the reason ur man left you... Look girl, that you trying to write up there is the wistful thinking.. Good Men don't pop, they are made, cultivated. A good man is the reflection of his good girl. If your man left you for silly reason, your most likely silly... Oooooh you didn't know about that? Think of what you did to him..
 
Tafta Mume kwenye mazngra yanayo kuzunguka oficn,mtaan na kwamarafk zako huko sio humu na uache kujifanya unajua kuchagua sana u still a woman
 
lonely, depressed and stressed! ungekua icu au mirembe!
sema tu natafuta mchumba basi.. mambo ya depression huyajui bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…