platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
I am single men.........hakunaga mapenzi yalee ya kugandana ni zama za kale.
Ukinitaka/nikikutaka tunamaliza leo leo tu.
Kuna huyu ana siku ya tatu hajaenda kazini kisa mapenzi.......Kisa mapenzi.
Ni sehemu ya maneno kutoka kwenye wimbo wa Lady Jaydee na Ali Kiba kwenye wimbo wa single boy.
Ama kweli mapenzi zama hizi kizungumkuti.
Ajabu ni kwamba unapendwa sana na baadhi ya watu niliokutana nao...........na hawafichi wanapenda sana "contents" yake. Miye sijui ni woga kutokana na kuumizwa na mapenzi ama ni fasheni mpya kwenye mahusiano.
Tujadili