I am looking for a job. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I am looking for a job.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by AMANI SAMANYA, Jun 7, 2012.

 1. A

  AMANI SAMANYA New Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HELLOW WATANZANIA, MIMI NI KIJANA MTANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 25, KWA SASA NASOMA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO SHAHADA YA KWANZA YA MAWASILIANO YA UMMA (BA. IN MASS COMMUNICATION), SPECIALIZED IN PUBLIC RELATIONS NA NAMALIZIA MWAKA WA TATU. NATAFUTA AJIRA KATIKA SEKTA YOYOTE AU KAMPUNI YOYOTE. KWA MAWASILIANO ZAIDI Email: amanisamanya@yahoo.com Au NAMBA YA SIMU: 0719714566. AHSANTENI SANA.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Maliza shule kwanza,maana kuna wenzio kama laki 1 wako mtaan hawana ajira.
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kazi haitafutwi hivyo kijana. Msomi wa Mass Communication ningetegemea kuwa unajua psychology na mbinu za kusaka ajira. Waajiri hawawezi kukutafuta (labda uwe na exceptional talents). Wewe ndiyo unawatafuta. Ingia kwenye mitandao ujifunze namna ya kutafuta ajira, kuanzia namna ya kutayarisha resume/CV, kuandika barua za kuomba kazi, kufanya usahili, maandalizi kabla ya usahili, nk.
   
 4. L

  Lsk Senior Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...hawa ndo wasomi wa enzi za kasi mpya!! Msomi gani unajianikaanika tu na contacts zako kwenye public? Kazi kwelikweli,wasomi wa kasi mpya ya ******,mumepwaya km yeye mwenyewe alivyopwaya kiutawala.
   
Loading...