I am having fun!

I am having fun!

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
27
Mum and dad were having s*x and their child came and said: Dad what are you doing ?
Dad: I'm having fun.
Child: Can I join ?
 
sasa na wao kwani walisahau kufunga mlango??
 
Wote hawajatulia ndo shida ya uswaz chumba ndo sebule
 
Wote hawajatulia ndo shida ya uswaz chumba ndo sebule

Ndugu yangu sio uswazi tu, haya yanatokea hata kwa hao wa uzunguni, watoto wanalelewa kizungu wakijisikia tu wanaingia chumbani kwa wazazi wao bila hodi, la haula wazazi wapo kwenye 'jakuzi' wanakula raha na wamesahau kufunga mlango, yani hii 'raha' wakati mwingine kama 'karaha' tu
 
Khaaa!mbona aliwakata stim!namuhamisha chumba siku hiyo hiyo ebo!
 
hahaha....angemwambia ni fun ya wakubwa tuu...asubiri nae awe dadii kama yeye ndo atapata hiyo fun
 
Back
Top Bottom