I am flying without wings

wewe unaonekana limbukeni wa mapenzi but utayajua mapenzi ni nini huko babae tuulize sisi wa kongwe huyo sio ndugu yako wa dmu so usijihakikishie sana anything can hapen at any time warembo kibao mjini hapa kwani we unaya gold
 
I think ulifanya adverse selection so muda huu unakabiliana na tatizo linaitwa moral hazards (hii hutokea pale ambapo umemchagua ambae sie, so moral hazards hutumika kama survival strategy).....watu hawafanani, kwa vile ulipata wewe usifikirie kwamba kila mmoja lazima apitie the same path, la muhimu utuombee na ututakie baraka na sio kuniita limbukeni! samahani na pole sana kwa yale unayokabiliana nayo kwa muda huu, ngoja mie niendelee kuenjoy kwenye hii sweet love eeehh
 
hongera mwai, ni kweli kupendwa raha hasa , kwakweli Mungu akusaidie uwe na furaha hiyo siku zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom