FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,420
Pole sana FL1.Hii inatokea sana kwenye majumba yetu, ila impact yake pale watakapopatikana haipimiki!..Ni lazima ndoa ivunjike!
mmmh,I real dnt think kama anahitaji kweli kuacha,coz mtu ukiamua kitu hata kama kinakuuma kiasi gani but once you decide to let it go then you dont have to listen to some ones opinion!How coul she for Gods sake?if she decided to share her sisters "DICK"Thats too and very low.She knw wat she wanted,she is and so happy about it,I real dont think she needs an advise,she is just a devil herself!
My Take:if she is real sorry for wat she did,she should stop it once,and confess it to them! Thast the real meaning of true confession.
Du..wee Pearl..Unataka mwenzio anyonywe macho?...awaambie nduguze tena kuwa alikuwa anashare nao koni?....Hell Noooo!..Aamue toka moyoni tu kwamba hatorudia, na wakimsaundisha zaidi awatishie kwamba atawaambia dada zake...@Lakini kuwapa ishu live ni sooo kabisa.
Hii story hapa ndio mahali yake... na imeletwa kutoa changamoto na elimu kwa wadau pia ushauri kwani kuna many cases kama hizi majumbani mwetu, sijaelewa kwanini unataka iende cloudsfmstory nzuri wapelekee CLOUDS FM ""The Mashostito station"" ondoa hapa
hata mie mwanzo nilishtukaNinavyokuheshimu wewe kama ingekuwa ni wewe ningecha kuja hapa jamvini tangu leo!
story nzuri wapelekee CLOUDS FM ""The Mashostito station"" ondoa hapa