Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,812
- 225,600
Yaani mmu kunachekesha jamani.na mie nimecheka wallah
Kuna Uzi nilipita,mtu anaomba majina ya kike yanayoanzia Na.
Mwingine eti mwite juha,jkt,jiwe,jini,jinamizi.
Nilicheka Hadi Basi.
Sent using Jamii Forums mobile app