Pole sana dada Carmel.
Kwa sasa, niseme kwa upande wangu sina jinsi ya kukusaidia kupata ajira - hata hivyo nina mawazo ambayo ningependa nikushirikishe pengine yanaweza kukusaidia leo, au hata baadae.
Utakubaliana na mimi kuwa wengi hapa tanzania unaoweza kuwaita "intellectuals", watu ambo ni degree holders kuendelea mbele, wakimaliza chuo hao wanachofikiria ni kuajiriwa na kukaa kwenye office za watu - that's it. This's is really a bad mindset!
Kama challenge kwako, kule Iringa kuna sehemu wanalima viazi. Kukodisha shamba, kuliandaa, kutafuta mbegu, na gharama nyingine zote mpaka kuvuna itakugharimu 500K hadi 600K kwa heka moja.
Hekari moja yenye udongo mzuri, na kama ulifuata masharti vizuri - inatoa magunia ya viazi 80 - 70 wastani - ukikosa sana utapata 50.
Bei ya gunia moja shambani ni Tsh 50,000. Uzuri ni kwamba Viazi havina msimu, hupandwa na kuvunwa mwaka mzima mara 4. Yaani ukipanda utavuna baada ya Miezi mitatu.
Unaweza kuona kuwa heka moja inakuwa na return ya 50,000 x 80 = 4,000,000 ndani ya miezi mitatu. Kama mil 4 ni ndogo, ongeza mtaji kama 1M hivi, na utapata return ya 6M - 8M ndani ya miezi 3.
Now nikuulize swali - Ni rafiki zako wangapi walioajiriwa wanapata kiasi hichi cha pesa in 3 months?
Mimi nataka nianze kulima msimu unaoanzia January. Kwa sasa nimechelewa nimekosa mashamba watu wameshawahi.
Dada yangu, mimi pia nilimaliza University of Dar es salaam, so ni degree holder kama "intellectuals" wengine. Tofauti ni kwamba, napenda zaidi intellectuals tuingie kwenye soko la kujiajiri.
Kumbuka kuwa "Watu wote wanaweza kuajiriwa, lakini sio wote wanaweza kupata mafanikio ya maana kwa kuajiriwa"
Kwa sasa najua utakuwa huna mtaji, au una pesa kidogo sana umeihifadhi. Nakushauri, mara utakapopata kazi nzuri, save hela kiasi then jaribu kufanya investment kama hizi - na mambo yako yatabadilika kwa muda mfupi.
Na pia, unaweza kufanya mambo yote sambamba - yaani una invest huku unaendelea na ajira yako kama kawaida - hii inawezekana.
Naomba niishie hapa. Nikipata muda, ntaandika huu mchanganuo mzima hapa JF ili wana JF wote wenye tatizo la kiuchumi iwe kama ni njia ya kujikwamua.
Nakutakia kila laheri.
Definately siwezi kuacha jkazi niliyonayo bila kupata ingine. sema tu nimetuma application nyingi mno hadi sasa kimya nado maana nimeona niombe msaada.
samahani naombeni kuuliza hivi kazi ya HR unaweza kujiajiri kweli????

Dunia inazidi kuwa kijiji. Fikiria mtu ana Masters degree kama wewe anahangaika kutafuta kazi! Huko nyuma ukimaliza form six unachagua kazi ya kufanya. Wangu ni ushauri, usihangaike kutafuta kazi ya profession yako. Ukihangaika kihivyo itakula kwako. Kwa elimu yako unaweza kupata kazi nyingi tofauti tofauti. Inategemea unatafuta kazi wapi, manake hujaspecify. Ila kwa Dar ni akili kumkichwa. Mi nimesomea uhandisi lakini kazi nayoifanya wala haina uhusiano wowote na uhandisi. Na kibaya zaidi nafunika ile mbaya, kuliko hata wale ma-pro wenyewe.
All the best darling.
Labda kama unataka kuwa Human resources Manager wa Nyumbani Co. Ltd.
Ramthods...!!!nakupa 5......mawazo uliyotoa ni sahihi sana!!! yaani mimi binafsi nina mawazo kama yako kabisa.!!!! Jamani tuache kufikiria upande mmoja wa kuajiriwa tu.,mara nyingi hakuna maendeleo ya msingi kabisa...Carmel ,kama ulivyoshauriwa hapo juu,unaweza tafuta ajira siyo lazima uliyo somea...lakini vilevile mawazo ya kujiajiri ni muhimu sana....mimi pia ni Masters Holder ..lakini baada ya kufanya kazi miaka 5 nimeona nijiingize kwenye projects za kilimo cha vitunguu kwanza,(ingawa bado naendelea na kazi)....lakini surely I am telling you , i will get somewhere .....Think about it....
thanksinawezekena firstlady kuanzisha private company kufanya recruitment, training na hata ku -initiate hr system kwenye ofisi ambazo hakuna. Inawezekana kufanya hizi consultancies. Take off point ndo shida i gues.
Kujiajiri sio lazima ujiajiri kwenye sekta uliosomea....naamini kwa mtu msomi ni kutafuta idea na kuimplement tatizo linakuja ni mshiko ila tusiwaze project kubwa sana tuanze na ndogo then unaendelea...si unaona ka mkuu hapo juu alivyosema ameamua kuingia kwenye kilimo sidhani kwa kuanzia unahitaji mtaji mkubwa sana....kwa hiyo HR sio lazima afungue consultancy maana hiyo inataka uwe mvumilivu kabla hujaanza kula matunda!!unajua mie ndo maana nikauliza kazi za HR unawez akujiajiri ???
Kujiajiri sio lazima ujiajiri kwenye sekta uliosomea....naamini kwa mtu msomi ni kutafuta idea na kuimplement tatizo linakuja ni mshiko ila tusiwaze project kubwa sana tuanze na ndogo then unaendelea...si unaona ka mkuu hapo juu alivyosema ameamua kuingia kwenye kilimo sidhani kwa kuanzia unahitaji mtaji mkubwa sana....kwa hiyo HR sio lazima afungue consultancy maana hiyo inataka uwe mvumilivu kabla hujaanza kula matunda!!
Ahsante kwa kuendelea kubadili avatar yako. Weka picha yako halisi tupige jaramba.