Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,061
- 168,719
Kidhungu kigumu , mwingine huyu
Mi nilipoona tu hiyo kofia nikajua habar kwishney hamna kitu
Acha udini wewe
Acha udini wewe
Mi nilipoona tu hiyo kofia nikajua habar kwishney hamna kitu
Huku umakondeni mvua tangu jana, jua ni bidhaa adimu
Ulivoona huyo wa bujibuji alivokaa uchi hukujua kama habari kwishney?
aisee poleni, huku kwetu tumeambiwa tununue chakula tununue ndani na wale mabondeni eti hawatuji....
Du.... kwahiyo mnaingoja gharika kwa hamu? Wamabondeni warudi mikoani kwao