Hzi goal mbona nafunga fasta fasta asee

Hzi goal mbona nafunga fasta fasta asee

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Mu hali gani jamani???
Mimi nina tatizo moja,
yani nikianza game na
demu wangu, yani goal la kwanza
halichukui hata dk 5, nikiingia raundi ya pili na ya tatu story inakuwa ni hivyohivyo, je hili ni tatizo au nini jamani??
 
Mu hali gani jamani???
Mimi nina tatizo moja,
yani nikianza game na
demu wangu, yani goal la kwanza
halichukui hata dk 5, nikiingia raundi ya pili na ya tatu story inakuwa ni hivyohivyo, je hili ni tatizo au nini jamani??

Hilo tatizo kijana,kwa mwendo huo lazima nikugongee demu wako sana,watu goli la kwanza demu anaomba pooh kashakojoa kama mara tatu hivi
 
Pole mkuu...unaenda mpk goli ngap?

ulikuwa jela au ukame tu mkuu?
 
Pengine huwa unapania sana kum-do matokeo yake unafika haraka kabla hata ya mwenzio....na kwa style hiyo mwenzio nae atakuwa ha-enjoy tendo. Tuliza akili wakati wa tendo usiwe too serious kama uko kwenye mtihani...
 
La kwanza huwa linasaliti lipo njiani...
Muhimu ni jerk-off kabla ya game.
Anzia mgegedo na la pili.
Control ur breathing ,
Vile vile unatakiwa ujue gia yako ya kukojolea....
Ikibidi hesabu kwa kichwa....1,2,3......20.
Kama 21 ndo gia yenyewe chomoa reset..to zero..

Vuta pumzi chomeka piga game.

Hakuna mwanaume ambaye yeye la kwanza halijawahi kumsaliti...
 
Unakula sana kiepe mtoto wa kiume??? Piga msosi mgumu then malizia siku ka mazoezi kisha uje ukutane na game sasa!! Binti lazima akugande....!!
 
La kwanza huwa linasaliti lipo njiani...
Muhimu ni jerk-off kabla ya game.
Anzia mgegedo na la pili.
Control ur breathing ,
Vile vile unatakiwa ujue gia yako ya kukojolea....
Ikibidi hesabu kwa kichwa....1,2,3......20.
Kama 21 ndo gia yenyewe chomoa reset..to zero..

Vuta pumzi chomeka piga game.

Hakuna mwanaume ambaye yeye la kwanza halijawahi kumsaliti...

Dah nimebaki mdm wazi aiseee!!




Sent from Nokla using Jf app
 
ukiwa unapiga raund ya pili anza kuwaza wanaokudai...af utaona kazi yake...ukifka raund ya 3 anzisha mawazo mengine
 
Ukikojoa mapema mwanamke wanakuon kama umevunja sheria ...
..

Kama unakatatizo hako ngoja nikupe maujnja..

Ikitokea umekojoa ooh shit.
Endelea na romance...chezea mwili wake, hakikisha hakuna gape na usijisikie umefweli.

Vile vile badilisha mikao ya mgegedo...
Sio kila mara missionary position .


Wakti ukisubiri mzee aamke.
 
Demu wako alisema atakuacha sasa fanya hivi
Usile viepe yai..kula misosi ya kiwanaume ugali tena dona..
Piga supu ya pweza, karanga siku ya game weka na kikonyagi zen ulete mrejesho Hapa..
Ni aibu ya fedheha kwa mwanaume kushindwa kumtosheleza binti..badilika cos unamtia mwenzio genye na huwezi kumkuna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom