Hyundai Amica

Hyundai Amica

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
habari wanajamii,kuna mtu anauza gari lake aina ya Hyundai Amica model ya mwaka 2000 na imetembea 55000KM na anauza kwa 3Mil sasa nlikua nataka kujua kama kuna mtu anajua matatizo au uzur wa hli gari,nashukuru Ndugu zangu
 
Technical data
  • Fuel Delivery: Multi-Point Injection
  • Transmission: 5-speed manual
  • Engine size & layout: 999 cc, I4, 12 valves
  • Peak Power: 40 kW (54.4 PS; 53.6 bhp)
  • Peak Torque: 82 N·m (60 lb·ft)
  • 0-60 mph (96 km/h): 14.6 s
  • Top Speed: 160 km/h (99 mph)
  • Fuel economy: 6.4 L/100 km (44 mpg[SUB]-imp[/SUB]; 37 mpg[SUB]-US[/SUB])
  • Emissions: 151 g CO2/km, other emissions below
 
Technical data
  • Fuel Delivery: Multi-Point Injection
  • Transmission: 5-speed manual
  • Engine size & layout: 999 cc, I4, 12 valves
  • Peak Power: 40 kW (54.4 PS; 53.6 bhp)
  • Peak Torque: 82 N·m (60 lb·ft)
  • 0-60 mph (96 km/h): 14.6 s
  • Top Speed: 160 km/h (99 mph)
  • Fuel economy: 6.4 L/100 km (44 mpg[SUB]-imp[/SUB]; 37 mpg[SUB]-US[/SUB])
  • Emissions: 151 g CO2/km, other emissions below
Mkuu, Si umwambie tu kwamba hii gari kwa Tanzania ni kimeo?
 
habari wanajamii,kuna mtu
anauza gari lake aina ya Hyundai Amica model ya mwaka 2000 na imetembea
55000KM na anauza kwa 3Mil sasa nlikua nataka kujua kama kuna mtu
anajua matatizo au uzur wa hli gari,nashukuru Ndugu zangu

Kwa specs alizoziainisha PETRO E Mselewa nifikiri litakuwa lina fuel consumption nzuri sana,tatizo sijui upatikanaji wake wa spea uko vp
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom