Hysteria ya uongo!

Hana lolote huyo ,kuna ajenda yake ya siri.
Alimkandya Magufuli na aliikandya CCM.
Mamluki huyo.
 
Matusi umeona kwangu tu?
Mkuu nimeona wengi wanatukana siku hizi humu JF.

Sasa mwanzo nilikuwa nachukia lakini siwajibu matusi nilikuwa nawahoji kwanini wanatukana badala ya kujadili kwa hoja, siku hizi nawajibu kwa kuwauliza "umemeliza kunitukana na umeridhika? Kama bado endelea hadi uridhike"

Trust me this trick works efficiently most of the times. It's a psychological answer. Watu wanajirudi na kuwa waungwana sana.

Kwa sababu watu hutukana kwa kukusudia kukuumiza kisaikolojia au wana hasira sana hivyo wanataka kuondoa mzigo rohoni.
Sasa wakiona haujajibu matusi au haujalalamika kwa wale waliotegemea kukumiza kwa kukuchukiza wanaona hawajafanikiwa na wanazidi kujiumiza wao, na wale waliokutukana kwa kutaka kupunguza hasira zao wanakuwa wametoa mzigo uliokuwa umewaelemea moyoni au kichwani wana poa na kujutia ubaya waliokutendea na wanaanza kugundua makosa yao wanajirudi na pengine wanaomba msamaha.
 
at least kikwete alikuwa anatoa uhuru wa kujieleza,bunge live,mikutano ya siasa
sasa watu wanapigwa risasi na kutekwa na hawaruhusiwi kulalamika
yani ubabe ubabe
 
Nilikuwa nasoma comments za makamanda kule youtube Kikwete akihutubia enzi hizo ....matusi waliyokuwa wanamporomoshea ni copy and paste kwa JPM sasa! Yaani hawa hawajielewi! Wamemsahau Ulimboka, Mwangosi, Kibanda, Kubenea kumwagiwa tindikali, Kamanda Mawazo, kule USA River kuna kiongozi aliuawa kinyama mno! mabomu Arusha tena zaidi ya mara moja watu wakafa na wengine vilema hadi leo, maandamano Arusha ambayo watu waliumizwa vibaya, wamesahau hata yule mtoto aliyemuuliza swali Lowasa akakamatwa wakasema katumwa! yapo mengi mno!! Ila wamefuta yote na sasa JPM ndio shetani dunia nzima!! Hana jema! Wapinzani wetu ni kituko mno!
 
And you are Kamandanista teh teh
Mkuu your infiltration tactics zimeshitukiwa.
You are still USA baby!
Try something else.
Tanzania tunaambizana ukweli lakini.mlionunuliwa, Vimambinistas, no chance!
 
at least kikwete alikuwa anatoa uhuru wa kujieleza,bunge live,mikutano ya siasa
sasa watu wanapigwa risasi na kutekwa na hawaruhusiwi kulalamika
yani ubabe ubabe
Kiukweli mnasahau sana. Unajua kelele za sheria za mitandao zilianza lini? Unajua hata issue ya bunge live ilianzia kwa Kikwete na kama angekuwa madarakani yangekuwa haya haya ....mikutano ya kisiasa ipo kikatiba na Rais hana mamlaka ya kukataza! Mbona enzi za JK maandamano yalipigwa marufuku lakini bado watu walilazimisha? Tatizo kwasasa CDM haina ushawishi tena wanatafuta visingizio tu! In short naona CCM wanawapa kiki wenyewe ...wangewaacha muandamane tu ....
 
Nadhani kumbukumbu za mleta mada zimeathirika zaidi maana ukisema ufukue nyuzi zake za nyuma utaelewa unafiki wa mleta mada
 
Reactions: BAK

Ila tuache utani, mamia kama si maelfu ya maiti zinazookotwa katika fukwe za bahari ya hindi ukanda wa dar es salaam inatoka wapi? Kweli Nyerere alishasema kiongozi akishaonja nyama ya binadamu hawezi kuacha kuitafuta na kula kila siku... huyu jamaa ana kiu ya hatari na nyama za binadamu wenzie
 

Watu hawakufa kipindi cha Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…