Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,094
- 136,678
Howdy!?
Naona kuna kakundi ka watu wachache humu JF na kwenye mitandao mingine ya kijamii wanaotengeneza hysteria ya uongo kwa kukuza mambo.
Lengo lao ni moja tu, nadhani. Ni kumchafua rais aliyepo madarakani sasa.
Awali mtu ungeweza kusema labda pia hawa watu wanaichukia CCM. Lakini mimi nimehitimisha kuwa wanamchukia zaidi Rais Magufuli kuliko wanavyoichukia CCM.
Na ndo maana wanakuwa wanakuza kuza tu mambo.
Wakiona kijimakala kilichochapishwa kwenye jarida sijui la wapi wapi huko wanakimbilia kuchekelea, kusherehekea, na kupagawa utadhani ni ujio wa pili wa Yesu au kiama.
Oh sijui mpaka wazungu wameandika...sijui wazungu nini nini....who cares what wazungus say?
Mara sijui watu siku hizi wanapigwa risasi! Kwani zamani watu walikuwa hawapigwi risasi?
Mnashangaza sana nyie watu. Mko too hysterical kiasi hata kumbukumbu zenu zimeathirika.
Kikwete aliponunua yale magari ya kupulizia upupu mlilia lia humu na mkamlaani. Leo hii kaja Ngosha Mashine mnajifanya kumkumbuka Kikwete. Ina maana mmesahau kuwa alileta magari 700 na ushee ya kuwapulizia upupu na akawaambia ole wenu mkileta vurugu kwenye uchaguzi?
Mna matatizo sana nyie watu!
Si ajabu mshasahau kuwa Dkt. Ulimboka naye alitekwa na watu wasiojulikana akajikuta yuko Mabwepande huko akiwa hajielewi wakati Kikwete akiwa rais.
Hata yule Kibanda naye si alipigwa na hao hao wasiojulikana kipindi cha Kikwete...
Lakini mnavyopiga mayowe sasa hivi utadhani haya mambo yameanza baada ya Ngosha Mashine kushika hatamu za madaraka.
Acheni kukuza mambo nyie makamanda.
Mliikuza ile njaa weee hadi mkaishia kuumbuka tu mwishowe. Tena hayo matumbo yenu makubwa ndo yaliwaumbua zaidi maana kila nilipokuwa nawauliza kama mmeshinda njaa mlikuwa mnakosa majibu.
Mtaishia kuwa wafa maji tu na huko kutapatapa kwenu.