Hygrometer iringa mjini

Tanayzer

Tanayzer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
1,281
Points
2,000
Tanayzer

Tanayzer

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
1,281 2,000
Wakuu habarini ningependa kuuliza waliopo iringa na wanaoijua iringa, vifaa vya hygrometer kwaajili ya kupima unyevu kwenye incubator vinapatikana sehemu gani hapa iringa mjini? Mimi ni mgeni wa maeneo haya na nina uhitaji sana wa hygrometer... asanteni
 
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
229
Points
250
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
229 250
boss ulipata hiyo hygrometer?,
nataka kujua kama haujapata nikutengenezee,utanipa pesa ya vifaa tu;
 
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
229
Points
250
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
229 250
mkuu ulipata hiyo hygrometer?,
Wakuu habarini ningependa kuuliza waliopo iringa na wanaoijua iringa, vifaa vya hygrometer kwaajili ya kupima unyevu kwenye incubator vinapatikana sehemu gani hapa iringa mjini? Mimi ni mgeni wa maeneo haya na nina uhitaji sana wa hygrometer... asanteni
 
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
229
Points
250
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
229 250
Mkuu hygrometer sijaipata huku kuna duka wanauza ila mzigo umeisha....
okay,mimi najua kutengeneza kwa ujuzi wa electronics niliupata,hapa natengeneza vitu vingi;
 
Forum statistics

Threads 1,336,217
Members 512,562
Posts 32,531,042
Top