AaahhhhKama mahindi hamna acha kufuga hayo ma-hydroponic mtatuua jamani
Uliza kwanza ujue hydroponics fodder ni nini! Usikurupuke!Kama mahindi hamna acha kufuga hayo ma-hydroponic mtatuua jamani
Trei ya saizi gani inatosha kuotesha mtama wa kilo 1 Mkuu?Uliza kwanza ujue hydroponics fodder ni nini! Usikurupuke!
Ni uoteshaji wa mbegu mbalimbali bila kutumia udongo!
Mimi hutumia mtama, mahindi, ulezi na ngano na situmii mbolea yeyote ya kiwandani.
Ni swala la kuziloweka, baada ya muda unazihamisha unazifunika katika chombo kinachopitisha hewa kwa kuzimwagia maji Mara kwa Mara baada ya siku 6 hadi 8 zinarefuka na tayari ni majani kwa ajili ya kuwapa Kuku! Inakupunguzia muda wa kutembea mtaani kutafuta mchicha na Chinese kwa ajili ya Kuku.
😱😱😱Kama mahindi hamna acha kufuga hayo ma-hydroponic mtatuua jamani
Mzeee umegonga balimi ?Kama mahindi hamna acha kufuga hayo ma-hydroponic mtatuua jamani
jibu zuriUliza kwanza ujue hydroponics fodder ni nini! Usikurupuke!
Ni uoteshaji wa mbegu mbalimbali bila kutumia udongo!
Mimi hutumia mtama, mahindi, ulezi na ngano na situmii mbolea yeyote ya kiwandani.
Ni swala la kuziloweka, baada ya muda unazihamisha unazifunika katika chombo kinachopitisha hewa kwa kuzimwagia maji Mara kwa Mara baada ya siku 6 hadi 8 zinarefuka na tayari ni majani kwa ajili ya kuwapa Kuku! Inakupunguzia muda wa kutembea mtaani kutafuta mchicha na Chinese kwa ajili ya Kuku.
Trei ya saizi gani inatosha kuotesha mtama wa kilo 1 Mkuu?
Nataka nitengenezeshe trei zangu mwenyewe
God bless you Igwe.20 x 50 cm
God bless you Igwe.
IkolaUpo wapi? I have mine about 50 of them. Well made and of good quality.
Ikola
Kwa hii sentensi tu "kuroiler navyojua mimi ni kuku (Hybreed) wa nyama na mayai" inamaana ushalijibu swali lako tayari.Kuroiler navyojua ni Kuku(hybreed) wa nyama na mayai...kuna kuroiler wa nyama pekee?
Nahitaji muongozo kwa mzoefu.
Post sent using JamiiForums mobile app