Hvs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hvs

Discussion in 'JF Doctor' started by mzurisana, Jul 26, 2011.

 1. m

  mzurisana Senior Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuwa na kijipu kwa juu kwny sehemu za siri na nikaanza kutokewa na utando mweupe mweupe kwny njia kbs ya kwenda ukeni na uchafu ukawa unatoka ingawa haunuki, nikaambiwa nipime HVS (high vaginal swab) matokeo yakawa net pre: pus cells +, epithylial cells ++, T.V -nil, yeast cells -nil, gram stain: no gram negative seen, dawa nilizopewa ni conaz: norfloxacin & tinidazole tablets1x2x5, erythronyicine 2x3x5, na fluconazole 1x1x3 (am not sure with the spellings) nimemaliza dose jana asubh na nilikuwa nina dalili za kupona, ila leo ucku nimejiangalia nimekuta kama tatizo limeongezeka, ule utando mweupe uliotanda kwy mashavu (karibia na sehemu ya kuingilia ukeni) umezidi , yaan shape yote meharibika... naomba mnsaidie dawa zingine za kutumia kabla sijaenda tena kumuona daktari, ni hosptial ya maria stopes ndio nilitibiwa
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Pole sana, nimeguswa sana na tatizo lako na nawaomba wana JF mnaofahamu anapopatikata mtaalam wa magonjwa haya msaidieni mwenzetu
   
 3. wende

  wende JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  dah,pole sana! Tulia apa apa JF utapata ushauri wa kutatua tatizo lako.
   
 4. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Pole mrembo,usihofu utapona soon, usisahau kumuomba mungu ili akuwezeshe upate moyo wa ujasiri na uvumilivu ktk kipind hiki cha mpito.
   
 5. m

  mzurisana Senior Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli nakosa amani kabisa, nikipata dawa usiku huu asbh naamka kununua naogopa nitaharibika zaidi shape ya uke ikawa haiko sawa,
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jaribu kuonana na madaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama natumaini watakusaidia kulingana na hali yako ilivyo pamoja na matokeo ya vipimo. Pole sana mtoto mzuri.
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  HVS ndio kipimo pekee ulichofanya?! Nimeshindwa kuelewa majibu yake (HVS) yanaonyesha huna bacterial wala fungal infection, lakini umepewa very strong antibitiocs (combination) na antifungal...kwa kweli hukupaswa kutibiwa kwa dawa hizo unless..kuna kipimo kingine zaidi ya HVS kilitoa majibu tofauti.

  Pia nachelea kuamini majibu ya hicho kipimo chenyewe...under no circumstance, vagina can not be sterile! Yaani ufanye HVS hata yeast (candida albicans ambao ni normal flora huko) wasiote? Its is highly unlikely!

  Nadhani kuna umhuhimu wa kwenda kwenye hospitali uonwe na Gynacologist na yenye maabara ya kuaminikia (Muhimbili, Aga Khan, Hindu Mandal....?TMJ), japo hizo dawa ulizokunywa tayari zinaweza kika'interfere' majibu pia.
   
 8. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  dah kweli riwa umeongea meku...anaonekana hana infection then wamempa dawa...hawa madaktari wetu wa marie stopes hawa...haya.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mzuri sana
  unaogopa shape ya uke kuharibika...
  I like it..lol
   
 10. m

  mzurisana Senior Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeenda tena leo hospitali wameniangalia , wamenambia coz niliharibu dose, yaan cku ya 3 na ya 4 nilichakachua so kufanya hvyo kumeharibu dose, nimeandikiwa dawa zingine ambazo ni doxy tablets na wokadine ambazo ni za kuingiza ukeni, naomba mniruhusu nizitumie hizi then kila sklu nitakua najiangalia kama dalili zinaendelea au vp
   
 11. m

  mzurisana Senior Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes , nimefanya kipimo cha hvs peke yake, ila nilivyoenda tena leo ameniingiza kidole kuangalia km nina uvimbe au maumivu yeyote kwa ndani, hapana, cna maumivu yeyote, inaonekana infenction ipo kwa nje
   
 12. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Daktari alipaswa kukupima kwa vidole ulipoenda mara ya kwanza kabla hata ya vipimo....again, kipimo cha HVS hakikuonyesha kuwa una bacterial infection na Doxycycline ni antibiotic nyingine ambayo inatibu bacteria. to make things worse...umepewa wokadine vaginal pessaries ambazo ni dis-infectant. kama umewahi kurefer post zangu kuhusu vaginal candidiasis nilishauri (inashauriwa kisayansi) usitumie dis-infectants ukeni, utaaharibu vaginal pH and make things worse kwani utaharibu ecosystem ya normal flora amabao wana faida ya kudiscourage growth ya bacteria na fungus wengine wenye madhara ukeni. So you have antibitics you dont need, and top of that, you have dis-infectant....is your Dr really a Gynacologist?!

  See a gynacologist my sister...please! hata kama ni ghali, afya yako ije kwanza, usikimbie gharama ukafanywa mgonjwa wa majaribio!

  NB: Ulipewa ushauri kuhusu majibu ya vipimo vyako, uliporudi tena kwa Dr, ulikuwa kwenye better posistion ya kudiscuss naye yale majibu upya kwani ameyatumia tena kukuongezea antibiotics...kwa nini sasa unaomba ushauri usioutumia?
   
 13. Mgariga

  Mgariga Senior Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hivi RIWA sio Gynacologist, he knows facts, i like his features.
   
 14. K

  Karata JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Utando mweupe ukeni ambao hauna harufu si jambo la ajabu sana kwa kina mama, hii ni kutokana na maumbile yao yalivyo, ukeni kuna vijidudu(normal flora) ambavyo havina madhara kabisa viko hapo kurekebisha mazingira, kama kutakuwa na uharibifu wa mazingira hapo ukeni kwa namna yeyote ile, kwa mfano madawa (antibiotics) au mabadiriko ya hali ya hewa (joto) ambapo itapelekea vijidudu fulani vife (bacteria) ambavyo vilikuwa vinavilinda vijidudu vingine (fungus) visizidi na kushambulia kuta za uke, kwahiyo huyu daktari uchwara alikosea kumpa huyu dada ANTIBIOTICS ambazo nazo zimezidi kuongeza tatizo. Matatizo haya kwa kina mama upona yenyewe tu, kwa kuzingatia hygiene tu. Kama tatizo litaendelea mara nyingi uwa ni Fungus (Candida albicans) ambayo inatibika kwa Antifungal (Antifagal viginal pessarie) na si Antibacterial drugs wala disinfectant kama alivyofanya daktari huyu gamba.
   
 15. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hawa madaktari ni wababaishaji, na usikute si graduate drs bali ni Clinical Officers (Medical Assistants) au Assistant Medical Officers. Wanachofanya kinaitwa Polypharmacy, yaani wanaandika dawa nyingi kwa kubahatisha, huenda mojawapo ika-hit the target. Dada wewe achana na dawa zao, nenda credible hospital ukaonane na Gynaecologist au specialist wa sexually transmitted infections (STIs). Specialists wa STIs wapo Muhimbili na ile clinic karibu na Central Police (Dar). From what you have said, from the HVS results and from failure to clear the problem after taking those very poerful anti-infection drugs, you do not have any infection in your vag***. The problem appears to be outside, most likely in the swelliing.

  Pole sana. Ningekuwa Dar ningesema nitakusaidia.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I was about to suggest something lakini tayari unaonekana hauko serious, how come unakua na tatizo kama hilo halafu unachakachua dose??
   
Loading...