Hv nitamtambuaje msichana ambaye hachabikiriwa?

Hv nitamtambuaje msichana ambaye hachabikiriwa?

Duh, aisee ile mada imeleta balaa humu ndani. Wanaume wasiojiamini naona wanahaha kutafuta wa kuanza nao. Lakini sio guarantee kuwa mtamaliza nao, speaking from experience
 
hahahaaa nilikaona Sea Breeze,...watu siku hizi kila kukicha bikira,birika,bikari aaarrrghh!waulize wao sasa..very used!

ooow, kumbe ulikuwa na maana hiyo?

zama hizi bikra ni nadra kukutwa kwa binti wa over 20 years!

kwanza kwanini binti tu, ina maana mwanaume hana wajibu wa kuwa na bikra ama?
 
Watu washachanganyikiwa ata mm natafuta mke wa pili lkn awe bikiraaa
 
Mwangalie wakati akitembea utamuona mguu mmoja akiutanguliza mbele basi ule mwingine unakuwa nyuma.
 
Back
Top Bottom