Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,271 Reaction score 13,426 Jul 19, 2017 #21 Goodluck Mshana said: Siku mkijua Mungu yupo na kuna kufa pia basi nchi hii itakuwa bora kabisa... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu huu sio wakat wa hayo maneno hata ww hapo sio kwamba unatenda mema kwa kila mtu au hata kwa mungu ... Kwann mnakuwa na roho za ajabu hivyo wakat kila kitu tulikikuta na tutakiacha?
Goodluck Mshana said: Siku mkijua Mungu yupo na kuna kufa pia basi nchi hii itakuwa bora kabisa... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu huu sio wakat wa hayo maneno hata ww hapo sio kwamba unatenda mema kwa kila mtu au hata kwa mungu ... Kwann mnakuwa na roho za ajabu hivyo wakat kila kitu tulikikuta na tutakiacha?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,421 Jul 19, 2017 #22 So sad kwa kweli...