huyu yupo chama gani??

Hayo ni magari mawili tofauti.....la mble ni lori limebeba matairi na ndio lina bendera ya CDM
 
Hii tax moja iko Iringa.Ana manisha kwamba CHADEMA mbele inaonyesha njia CCM nyuma.
 
bendera gani inafungwa ma.takoni huku ni chadema kwenda mbele.

bendera ya ccm tunaichukua kwa sababu ya buku kumi hala tunajua kazi tunyozifanyia hatumwabii mtu ni siri kubwa.
 
anasapoti chama alichoweka bendera juu pale mbele na anakiponda chama alichoweka bendera kwenye makalio ya gari!
 
Rafiki wa wote,hope 2010 mbunge akatoa CDM na President CCM
 
Hayo ni magari mawili tofauti.....la mble ni lori limebeba matairi na ndio lina bendera ya CDM

Watakucheka watu, hujui kusoma hata picha huwezi kuangalia. Mito ndani ya gari leo wayaita matairi.
CDM mbele, CCM nyuma
 
Watakucheka watu, hujui kusoma hata picha huwezi kuangalia. Mito ndani ya gari leo wayaita matairi.
CDM mbele, CCM nyuma

asante sana. mimi nlikua sijamsoma. kumbe mito ndo kasema matairi. dah!. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…