Huyu wifi yangu simuelewi?

Nyau mkubwa wewe! hicho ndo kilikupeleka kwa kaka yako? Nyie ndo mnavunja ndoa za watu.
 
Wewe hapo unawataka hao wakaka.

Ndo maana unamuwazia vibaya mwenzio.

By the way, inahusianaje na kukosa mtoto at 36?
 
Yale yale ndo za siku hizi....hii imedumu siku au miaka mingapi...maana kuna thread matata imetreand
 
ila sasa hufau kukaa kwa kaka naona kama una elemnts za kuchangia kuchonganisha..
 
[emoji23][emoji23]ingekua group la whttsp uyu dada ange left maana sio kwa majibu aya
 
Hapa ningependa zaidi wanawake wenzako wakushauri!!

maana kama umeenda kwa kaka yako unakula bure, kujamba, kuoga bure hulipii chochote bado unawashwa washwa umeshindwa kutambua kilichokupeleka!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…