miss black
Member
- Jan 8, 2018
- 9
- 8
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi mdogo wangu.....kweli hii ndo kazi yako......sasa nimejua ndo maana hakupendi.....ungejua jinsi napambana usiondoke kumbe wewe ndo mvugaji....!! safari ya kurudi moshi imewadia....mapemaaaaa,,,mamako nshamjulisha.......kanga viza wewe........
Sawa maaMshauri tu..
Ushauri mzuri, maana anaweza haribu ndoa ya kaka yake kwa ufukunyuzi wake.Sawa maa
Aondoke kwa kakaake, kama anauwezo wa kuchanganua mema na mabaya ya wifi yake alipaswa kuwa kwake, aachane na ndoa ya kakaake.
Huo uchunguzi akamfanyie mumewe sio wifi yake, hata hivyo hana mamlaka hayo kwenye nyumba za watu, afanye kilichompeleka aondoke haraka sana ndoa zina mambo mengi mno sio jukumu lake kumuelewa wifiyake mwenye jukumu la kumuelewa huyo bibie ni mumewe.
Mawifi bwana huwa tunakosea sana aiseeh.
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]duuuhMavi yako
Shemejiiii[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]duuuh
Wewe umeolewaAna 36yrs ila hana mtoto mwezi uliopita alishika mimba, Jana akawa analalamika tangu asubuhi kuwa tumbo linamuuma jioni akaona hedhi.
Akawa na hofu kuwa huenda ameharibu mimba, Leo asubuhi akaenda kwa dr na ameambiwa arudi after 7 days.
Muda huu hayupo nyumbani yupo nyumba ya pili kuwapa company makaka wa rafiki zake, is this fair kaka hayupo kaaga anaenda kukutana na wenzake atachelewa kurudi kutakuwa na mipira ya Ulaya.
MnhShemejiiii
Dada yake OG anakuchunga [emoji1] [emoji1]
Kwani mimi ng'ombe mpaka anichunge [emoji23][emoji23][emoji23] apambane na umbea wakeDada yake OG anakuchunga [emoji1] [emoji1]
Ney ebu nieleweshe tuHaki imebidi tuu nicheke,
Kwahiyo hapo na wewe unaomba ushauri, kweli dunia tambara bovu [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Umepata bonge la bwanaKwani mimi ng'ombe mpaka anichunge [emoji23][emoji23][emoji23] apambane na umbea wake
Ahahahaaaaaa kwamba hujamuelewa au?Ney ebu nieleweshe tu
Kwakweli nashukuruUmepata bonge la bwana
Akii sijamuelewa anaomba ushauri wa wifi yake kwenda kwa makaka wa jirani auAhahahaaaaaa kwamba hujamuelewa au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akii sijamuelewa anaomba ushauri wa wifi yake kwenda kwa makaka wa jirani au
Kwahiyo anamuonea wivu wifi yake hataki kukulwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hivyo, embu mshauri kidogo.
Ila Nokia ndio kanivunja mbavu
Hana hata uwakika kama wifi anakulwa huko kwa jiraniKwahiyo anamuonea wivu wifi yake hataki kukulwa