Huyu Watson Mwakalila katumwa na nani ITV?

SIPRITE

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
499
Reaction score
65
Huyu Watson Mwakalila ni miongoni mwa wanaojiita wanaharakati ambaye anaiteteaCCM huku akiishia kuyaona makosa ya CHADEMA/UKAWA na kuyakosoa vikali na kushindwa kuyaona makosa ya CCM ikiwemo kutukana majukwaani.

Mimi naomba kuuliza ni nani wa CCM huyu.
 
namwona anaogopa kuangalia hadi picha inayoruka hewan.maana anababaisha tuu
 
Alishindwa kabisa kumjibu Masako kuhusu suala la sheria mbaya ya Nec kuhusu wakiisha mtangaza raisi basi huwez hoji popote hata kama kwa makusudi/uwazi tume imekosea.... kajikanyaga mbaya kama JPM na raisi ya Libya.... ha haaa haaaa.... magamba bana....
 
Anaulizwa maswali anayakwepa...ukweli ni kuwa alikuwa mtupu sana. Alitumwa kwenda kutetea watu fulani. Kinachosumbua ni kuwa huwa inakuwa wazi mno kama umetumwa kwani huwa unahangaika hujui cha kusema kama ilivyotokea leo kwa huyu bwana mkubwa
 
Heshima kwa Masako alimbana kwenye ukweli jamaa akaishia kubabaika tuu
 
ni mwana CCM na pia kama sijakosea ni mgombea udiwani makongo kupitia CCM,hana jipya
 
Anaulizwa maswali anayakwepa...ukweli ni kuwa alikuwa mtupu sana. Alitumwa kwenda kutetea watu fulani. Kinachosumbua ni kuwa huwa inakuwa wazi mno kama umetumwa kwani huwa unahangaika hujui cha kusema kama ilivyotokea leo kwa huyu bwana mkubwa

Ukweli Ni kuwa Ili uitetee ccm lazima udanganye Tu! Na maswali yanapokuja baada ya kudanganya ndipo Kigugumizi huanza!
 
Huyu Watson Mwakalila ni miongoni mwa wanaojiita wanaharakati ambaye anaiteteaCCM huku akiishia kuyaona makosa ya CHADEMA/UKAWA na kuyakosoa vikali na kushindwa kuyaona makosa ya CCM ikiwemo kutukana majukwaani.

Mimi naomba kuuliza ni nani wa CCM huyu.

Nadhani hajui kuwa CHADEMA wanashindana na Mungu kwa utakatifu
 
Huyu Watson Mwakalila ni miongoni mwa wanaojiita wanaharakati ambaye anaiteteaCCM huku akiishia kuyaona makosa ya CHADEMA/UKAWA na kuyakosoa vikali na kushindwa kuyaona makosa ya CCM ikiwemo kutukana majukwaani.

Mimi naomba kuuliza ni nani wa CCM huyu.
Huyu hanatofauti na mtu aliyeko ndani ya box,uwezo wake wakufikiri unategemea ukubwa wabox.na kama nmgombea udiwani sina shaka kaishashindwa.
 
Huyu Watson Mwakalila ni miongoni mwa wanaojiita wanaharakati ambaye anaiteteaCCM huku akiishia kuyaona makosa ya CHADEMA/UKAWA na kuyakosoa vikali na kushindwa kuyaona makosa ya CCM ikiwemo kutukana majukwaani.

Mimi naomba kuuliza ni nani wa CCM huyu.

tusi moja la kijani= kura mia moja kwa ukawa
 
Rodney01:
hivi kila ukipata mic na audience kazi ni kuushambulia upande unaokinzana nao? Ingekuwaje ukikabidhiwa bunduki si utaua hadi sisimizi? Ccm, hili la matusi na kebehi kwa mnaofikiri ni wapinzani litawagharimu. Zungumzeni namna ya kuitoa nchi ilikokwama na sio nitajenga viwanda hadi vitongojini kutishana vita. Jitahidini kuuza sera na sio matusi vinginevyo mnawasaidia upande wa pili kuwapiga mabao.
 
Huyu Watson Mwakalila ni miongoni mwa wanaojiita wanaharakati ambaye anaiteteaCCM huku akiishia kuyaona makosa ya CHADEMA/UKAWA na kuyakosoa vikali na kushindwa kuyaona makosa ya CCM ikiwemo kutukana majukwaani.

Mimi naomba kuuliza ni nani wa CCM huyu.

Tukupe number yake umuulize?
 
Back
Top Bottom