Huyu Traffic hajipendi, aache Sifa!!

Huku vichakani watakuja kutulambia wake zetu tu ambao ni Askari pia. Kwa mfano kile kikoi alichotandika pale, katoka nacho kweli nyumbani au ni cha traffic mwenzie? Maana pale kando kuna pochi pia ya Kike. Traffic wawili wa jinsia mbili kichakani eti wanakamata Magari...Hahahahaha shetani yupo.
 
Unaweza lipa faini kwa mpesa, utaratibu ni huu:

1. *150*00#
2. Chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa)
3. Chagua namba 3 (Chagua kwenye orodha)
4. Chagua namba 3 (TRA & Penalties)
5. Chagua namba 3 (Police Tanzania {TPF}
6. Unachagua aina ya kosa.

Ukishamaliza mrushie trafik sms ya mwamala naye atauandika kwenye hiyo notification.
 
aisee kweli!
 
Hahahah Watu wanajipendekeza kwenye kazi "huko kinaitwa kuingilia majukumu ya watalii hao ndo wananing'inia porini kupiga picha simba"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…