Huyu teacher hafai kabisa

Huyu teacher hafai kabisa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
hardatit.jpg
 
Huyu teacher wa Biology, hii topic ya reprodaction hua inaenda kwa mtindo wa THEORY and PRACTICAL.. ndo maana nlipiga A.
 
Jamani mwalimu nae ni binadamu,ni nani mwenye nguvu ya kuhimili mfadhaiko akiiona K..........?
 
Huyu teacher wa Biology, hii topic ya reprodaction hua inaenda kwa mtindo wa THEORY and PRACTICAL.. ndo maana nlipiga A.

Mkuu upo sawa kabisa hiyo ni Kazina dawa... Na hayo ndo marupurupu yenyewe!
 
Anafundisha somo la ELIMU DHIDI YA UKIMWI ama?
Nalog off
 
Nisiposimama mtaniita shoga nikisimama ooooh mimi sifai, Nikila mimi kosa lakini akila waziri mkuu ajae sawaaa!!!!!!!!!!
 
Hahaaa inabidi maticha wakiume watafute oda ya pichu maalum...
 
Back
Top Bottom