Huyu tayari huyu !

Ndio basi tena mkuu, kesha kuwa mbili kasorobo
 
Inawezekana jamaa ni mzima kabisa ila tatizo ni
 
mkuu Harufu anauomba hilo boflo mgaie jamaniii maana picha yake inatia hurumaaaa
 
mtu anaponiambia kuwa Tanzania ni mambumbumbu napata shida sana kumuelewa
 
Safi sana, tumbo lote jeupeeeeee
 
Yaani watu wameshamtafsiri jamaa kuwa hamnazo!!!

Pengine anazo, ila tatizo ni njaa. Kapata kipande cha mkate, sasa kukila bila ya chai au juisi anaona hakitaenda, afanyeje? Weka colgate herbal utapata ladha ya kisamvu. Kisha anameza kwa maji tu baaas siku inaenda.
 

Wajuzi wapo kila kona
 
Jamaa ndo huyo hapo baada ya kushiba boflo akaamua kuvunja kabati na kutupia vitu vya hatari kama hivyo
 

Attachments

  • 1417809089341.jpg
    80.3 KB · Views: 424
Hii tunasema "innah lillah wa innah illah rajiun"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…