Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,574
- 30,841
YeyeKati ya vitu vya hovyo ni kuwaamini wazenji ...tutakuja kujuta sana mbeleni wana udini na ubaguzi wa hali ya juu ..alie anza kusema wanamsema kwa kua yy ni mzenji na muislam ni nani???
Kumekucha🔥🔥🔥🔥View attachment 3600320
Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yeda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.
Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.
Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.
Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.
Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
Salamu hizi ziwafikie Lukas mwashambwa na nduguye tlahtlah!Kumekucha🔥🔥🔥🔥
Zile damu mlizomwaga 29th-Oct-2025 zinaendelea kuchemka.
Samia na Hussein Mwinyi ndiyo wamemtuma huyo Simai, it's about time hata nyinyi kenge wa mbogamboga muuseme ukweli ulivyo kwa faida ya Tanganyika. Circumstantial realities zinadhihirisha kuwa Samia na Hussein Mwinyi wamemtuma katika muendelezo wa kuhakikisha Zanzibar inaendelea kuikandamiza, kuinyanyasa, kuibagaza, kuipora na kuitesa Tanganyika.
Rais tunayemtambua Tanganyika ni Dr. Nchimbi.View attachment 3600320
Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yeda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.
Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.
Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.
Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.
Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
kama vipi muungano uvunjwe, kila nchi ijibebeTanganyika ilifanya kosa kubwa sana kuungana na Zanzibar
Hao huongozwa na upepo wa bahasha.Salamu hizi ziwafikie Lukas mwashambwa na nduguye tlahtlah!
Atakuwa ni UVCCM/TISS, unajua Nchimbi ni jasusi mkongwe hivyo naye ana vijana watiifu kwake ndani ya mfumo.Hayawi hayawi……..
Huyo anaepiga beat nae anaitwa nani na majukumu yake huko CCM.
Mambo yataendaje,ikiwa utawalavumefitinikaa?Kumekuchaaa!! Mambo vululu vululuu.
Duuuh.
HatariiiiMambo yataendaje,ikiwa utawalavumefitinikaa?
Nyie si bado mko usingizini ngoja wazenji wawapelekeshe.View attachment 3600320